Hili nalo neno mkuu. Wacha mawazo yafanyiwe kazi maana nimeshangaa hadi wanaume sikuhizi ni "shilawadu" hakika tutashindaTutungiwe mashindano yetu ya kuongea tutakuwa number one.
Ha ha haaaa....aisee yan sijui tu siye tunaishi ndani ya shimo ama vepe, wenzetu Kenya Ethiopia wanakimbiza balaaacc wa tz! majungu, umbea, kufuatiliana maisha... hapo tutatangazwa mabingwa wakati tunapasha tu, kabla hata hatujaingia uwanjani!
Tutungiwe mashindano yetu ya kuongea tutakuwa number one.
Tena kuongea iwe kwa kiswahili au kikabila chako [emoji23] [emoji23]Tutungiwe mashindano yetu ya kuongea tutakuwa number one.
Mama we wakiweka ki-Malkia tumekwishawTena kuongea iwe kwa kiswahili au kikabila chako [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Simbu alishinda medali ya fedha...watakuja wengineHadi CCM itoke madarakani
Ila Simbu alishinda medali ya fedha...watakuja wengineHadi CCM itoke madarakani