Bollen Ngetti: Dk. Bashiru, Membe si size yako, kaa kimya

Hili bandiko inabidi litolewe copy ili apate nakala pale ofisini kwake
 
sijawahi kuuona usomi wa bashiru, uchaguzi wake wa maneno ya kuongea ni wa kiwango cha chini sana
 
Ushauri huu murua unawahusu pia akina mtapiamlo Humphrey na yule machokumchuzi kabundi
 
Duh! hivi kuna watu wanaona kuna hoja ya kumshinda Bashiru hapo?
Inaonekana wengi hawamfahamu Dr Ally Bahiru.
Itisheni mdaharo, mpate shule.
Mtazamo wako ndio unaona ivo. Hebu pitia comment alafu ujione na mawazo yako. But your right and not all right thing is correct.
 
Mtazamo wako ndio unaona ivo. Hebu pitia comment alafu ujione na mawazo yako. But your right and not all right thing is correct.
Mkuu nimesoma hizo comments, ila nikaconclude kuwa wengi wetu tuna shida kubwa katika uelewa wa mambo.
Hivi Membe katoa hoja gani?
Kwamba Rostam aongee uchumi ndiyo hoja? au kwamba Membe ni kachero, jasusi ndizo hoja?
Ndo maana nasema wangeitisha mdahalo na Dr, vijana wapewe shule, wajue namna hoja zinavyojengwa.
Hizi comments humu ndani zinadhihirisha mapungufu makubwa katika elimu za vijana wetu.
Hawajui ipi ni hoja na vipi ni viroja.
 
Boleni ngeti yaelekea humjui membe wala bashiru isipokuwa huwa unavutiwa na lugha za membe na umejaa utando katika masikio yako na macho yako kiasi cha kunaweza kumfanyia tathmini membe sipemdi kumchambua membe nitakuwa npandisha daraja hivyo nakuasa kuwa mwangalifu
 
Mueleweni Bashiru na yeye anatetea ugali wake. Unadhani ikatokea BM ndo kawa rais 2020 Bashiru ataendelea kuwa Katibu mkuu kweli?
Tumbo huwa linaficha mpaka taaluma ya mtu hasa unapoona hatari ya kulala njaa mbeleni
 
Cc: Pascal Mayalla Wakudadavuwa cocochanel
 
Wakuu
Nina swali, hivi kwanini unapokaribia chooni utajikuta haja ndiyo inabana saaaana???
 
Mtu kapewa dawa. Tuna wasomi wanaojua sana kutetea matumbo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…