Bollen Ngeti: Hili nalo ni jaribio la kumuua Lissu?

Tuacheni Double Standards, wakati Lissu ametangaza ziara nchi za Ulaya tulishangilia na kupiga vigelegele

Mjadala wako ungejikita kwa nini 'walishangilia', pengine ungeweza kupata baadhi ya majibu katika hayo unayoyaibua. Sasa sijui kama unakataa kata kata kwamba hakuna tatizo lolote na sababu za Lissu kwenda huko alikokwenda kusambaza hayo msiyotaka yasambazwe.

Kazi rahisi ya kuzuia ni kutofanya mambo msiyotaka dunia iyajue mnayafanya. Na Lissu hutamsikia akizurura huko kwa sababu atakuwa hana lolote la kwenda kusambaza.
 
mi kote nakubaliana na wewe
ila naomba al badr isihusishwe na iman ya kiislamu
kwa maana huo ni uchawi tu wenye asili ya Zanzibar na mombasani ,
 
ile hoja ya Lissu kufutiwa dhamana imetusitua wengi, yaani tunakosa ubinadamu kiasi hicho?? hata kama Lissu aliwafanyia makosa makubwa kwa mateso aliyopitia na anayoendelea nayo ni makubwa!!

Ana haki kueleza yaliyomsibu; sasa kama kufanya hivyo nako ni kosa basi mna matatizo makubwa!!

Hapa duniani tu wapita njia jamani, Lissu leo na sisi kesho, kama kuna mahakama kweli huko je mtajibuje?

Hili limetuacha midomo wazi, Lissu na magongo yake atoke hosp. akalale Segelea kweli huu ndiyo ubinadamu ulivyo?, ama huu utanzania wetu aliotuachia Mwalimu??

Asante ndugu hakimu...

Tujisahihishe!!
 
Mbona Lissu wakati anaenda kubwabwaja huko nje hamkushauri atulie hospitali apatiwe matibabu kwanza. Yaliyofanywa na Mawakili ni matokeo ya matendo yake mwenyewe msitafute sympathy ya kusema eti ni mgonjwa kachanwachanwa wakati kila siku anainanga Serikali kwa allegations nzito na maneno ya kebehi.

Katika hali ya kawaida mnapomuona mtu anazunguka nchi moja hadi nyingine tena kwa umbali mrefu kiasi kile, lazima mtahisi amepona kwasbbu anaweza kusafiri kutoka ubelgiji kwenda Ujerumani kwanni asiweze kuja Tanzania kusikiliza kesi yake. Bora hizo Safari, labda zingekua za matibabu lakini la hasa ni kwa ajili ya kufanya siasa na uanaharakati.

Tuacheni Double Standards, wakati Lissu ametangaza ziara nchi za Ulaya tulishangilia na kupiga vigelegele kwamba anaenda kuiambia ukweli dunia kuhusu kushambuliwa kwake hatukuwaza kuhusu ugonjwa wake, lakini leo anahitajika Mahakamani suala la ugonjwa ndo linajitokeza. Tuambieni ni athari gani Lissu angezipata kama angekuja kusikiliza kesi yake Tanzania, na athari hizo hakuweza kuzipata wakati anafanya ziara nje ya kituo chake cha matibabu.

Kimsingi Uamuzi wa Jaji wa kukataa kufuta dhamana ya Lissu ulizingatia zaidi mihemko na namna jamii ambavyo ingepokea lakini siyo uhalisia wa jambo lenyewe lilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mawee, hawa mawakili ni wawakilishi wa mawazo ya 'kishetani' kutoka kwa mwajiri wao. Watanzania wastaarabu hatujafika huko kabisa. Hizi roho za kishetani sio hulka yetu labda "Watusi na Wanyarwanda".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI si Muislamu lakini sasa naanza kuamini katika imani hii. Baada ya Tundu Lissu kushambuliwa na watu wasiojulikana Wazee wa Kiislamu Pemba, Unguja, Tanga, Bwagamoyo na Dar es salaam walisoma kinachoitwa "al-badir". Ninaambiwa ikisomwa hii basi aliyetenda jambo la unyama kwa siri wanapatwa na madhara. Wanaweweseka, wanaweza kuongea wenyewe kama vichaa, na wengine wanaweza hata kujiua au kuumbuka. Kwa mbali na karibu naona dalili za matokeo ya "al-badir".

Imenichukua muda kuamini macho yangu na masikio yangu. Nimetafakari na kujiuliza hatimaye nimejiundia majibu kuwa Tundu Lissu amehukumiwa kifo na watu wasiojulikana kwa gharama na namna yoyote. Ninaumia mno! Nashindwa kuamini kama hii ni Tanzania au Rwanda!

Kitendo cha Mawakili wa Serikali kupeleka ombi mahakamani Kisutu ili afutiwe dhamani ili aandikiwe Hati ya Kukamatwa popote alipo chini ya jua ni jaribio la kifo lililoshindwa kama risasi 16. Inaumiza mno. Lissu ameikosea nini nchi hii kiasi cha kumtakia kaburi? Kwa nini tumefikia hatua mbaya namna hii? Imefikia hatua dunia iitazame Tanzania kwa jicho lisilo la kawaida.

Lissu amepigwa risasi 16 mwilini. Mwili wa Lissu aijuaye ni mkewe lakini mwenyewe anasema "umechanwachanwa". Mifupa imevurugwa. Lissu ana maumivu makali. Lissu amesahau hata tendo la ndoa maana nyonga haifai. Lissu amepona kichwa tu. Yuko kitandani Ubelgiji. Mnaitana, mnakaa chini, anakuwepo mwenyekiti, hoja inatolewa, "sasa tunamfanyaji Lissu". Hatimaye mnaafikiana kuwa afutiwe dhamana ili tumkamate mgonjwa huyu, badala ya kulala wodini akalale Segerea kusiko hata na panadoli ya kutuliza maumivu. Hii ni nini kama siyo kutaka Lissu afe?

Ninatamani kuwaona kwa macho mawakili hawa kwa macho yangu. Niwaulize ni dini gani? Wana familia? Wamewahi kuumwa au kuuguza? Ni binadamu kama sisi? Wana nyama na damu kama sisi? Nani aliwatuma kufanya jaribio ovu hili? Walilipwa shilingi ngapi kwa jaribio hili?

Hakimu Simba Mungu akubariki. Mungu akuzungushie fensi ya Moto. Umeongozwa na Mungu kutupilia mbali jaribio hilo la shetani uliposema "HUO SI UBINADAMU". Najua umewaudhi mno waliopanga jaribio hilo. Umejiweka hatarini. Mungu akutetee! Thawabu yako ni kubwa mno!

Inawezekana baada ya jaribio hili kushindwa kikao kitakaa tena kutafuta Lissu afanywe nini? Maana Hakimu Simba amenawa kama Herode kwa Yesu. Lakini bado kuna sauti za asulubiwe?

Natoa wito kila mtu kwa imani yake tumuombee Lissu. Mungu awatie upofu wote wanaopanga "kummaliza". Mungu mtetee maana anakusudi naye!

Tumeshindwa kumdhibiti Lissu kwa hoja sasa tunataka afe gerezani. Mungu shuka! Kama hiyo ndiyo Tanzania mpya, basi siitaki. Mturudishie Tanzania yetu iliyokuwa imejaa watu wenye huruma, upole, upendo, udugu, umoja, amani na raha!
#AchaWoga 2020
Mimi naomba tu kuuliza,HIVI MUNGU ALIMPATA MWANADAMU AKILI ZA NINI?kama jambo la kuchukua hatua sisi tunapiga makoti kumwomba Mungu atufanyie-Je vichwani mwetu kutakuwa na akili kweli? Je kama Lissu amehukumiwa kifo leo,kitu gani kitazuia wewe usihukumiwe kifo kesho? ujinga na woga si tu ndo umasikini wetu bali pia kitanzi chetu-haya tuendelee kufunga na kuomba
 
Alichokifanya Lissu kuzunguka Ulaya na Marekani kuinanga nchi yake ni ustaarabu ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hujibiwa Kwa hoja. Lissu ameenda kuelezea yaliyomsibu baada ya kuona mamlaka za nchi hii haziko tayari kupeleleza wala kutoa tamko la msingi kuhusu yale yaliyomsibu Lissu. Nashauri Serikali ipitie kule kote alipopitia Lissu yaani Ulaya na Marekani ili wajibu hoja zake. Kutaka kumuuwa sio jibu, ni kukosa majibu ya hoja zake! Poleni sana. Pengine Rais ama Waziri wa mambo ya nje waanze na "Hardtalk" kujibu hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI si Muislamu lakini sasa naanza kuamini katika imani hii. Baada ya Tundu Lissu kushambuliwa na watu wasiojulikana Wazee wa Kiislamu Pemba, Unguja, Tanga, Bwagamoyo na Dar es salaam walisoma kinachoitwa "al-badir". Ninaambiwa ikisomwa hii basi aliyetenda jambo la unyama kwa siri wanapatwa na madhara. Wanaweweseka, wanaweza kuongea wenyewe kama vichaa, na wengine wanaweza hata kujiua au kuumbuka. Kwa mbali na karibu naona dalili za matokeo ya "al-badir".

Imenichukua muda kuamini macho yangu na masikio yangu. Nimetafakari na kujiuliza hatimaye nimejiundia majibu kuwa Tundu Lissu amehukumiwa kifo na watu wasiojulikana kwa gharama na namna yoyote. Ninaumia mno! Nashindwa kuamini kama hii ni Tanzania au Rwanda!

Kitendo cha Mawakili wa Serikali kupeleka ombi mahakamani Kisutu ili afutiwe dhamani ili aandikiwe Hati ya Kukamatwa popote alipo chini ya jua ni jaribio la kifo lililoshindwa kama risasi 16. Inaumiza mno. Lissu ameikosea nini nchi hii kiasi cha kumtakia kaburi? Kwa nini tumefikia hatua mbaya namna hii? Imefikia hatua dunia iitazame Tanzania kwa jicho lisilo la kawaida.

Lissu amepigwa risasi 16 mwilini. Mwili wa Lissu aijuaye ni mkewe lakini mwenyewe anasema "umechanwachanwa". Mifupa imevurugwa. Lissu ana maumivu makali. Lissu amesahau hata tendo la ndoa maana nyonga haifai. Lissu amepona kichwa tu. Yuko kitandani Ubelgiji. Mnaitana, mnakaa chini, anakuwepo mwenyekiti, hoja inatolewa, "sasa tunamfanyaji Lissu". Hatimaye mnaafikiana kuwa afutiwe dhamana ili tumkamate mgonjwa huyu, badala ya kulala wodini akalale Segerea kusiko hata na panadoli ya kutuliza maumivu. Hii ni nini kama siyo kutaka Lissu afe?

Ninatamani kuwaona kwa macho mawakili hawa kwa macho yangu. Niwaulize ni dini gani? Wana familia? Wamewahi kuumwa au kuuguza? Ni binadamu kama sisi? Wana nyama na damu kama sisi? Nani aliwatuma kufanya jaribio ovu hili? Walilipwa shilingi ngapi kwa jaribio hili?

Hakimu Simba Mungu akubariki. Mungu akuzungushie fensi ya Moto. Umeongozwa na Mungu kutupilia mbali jaribio hilo la shetani uliposema "HUO SI UBINADAMU". Najua umewaudhi mno waliopanga jaribio hilo. Umejiweka hatarini. Mungu akutetee! Thawabu yako ni kubwa mno!

Inawezekana baada ya jaribio hili kushindwa kikao kitakaa tena kutafuta Lissu afanywe nini? Maana Hakimu Simba amenawa kama Herode kwa Yesu. Lakini bado kuna sauti za asulubiwe?

Natoa wito kila mtu kwa imani yake tumuombee Lissu. Mungu awatie upofu wote wanaopanga "kummaliza". Mungu mtetee maana anakusudi naye!

Tumeshindwa kumdhibiti Lissu kwa hoja sasa tunataka afe gerezani. Mungu shuka! Kama hiyo ndiyo Tanzania mpya, basi siitaki. Mturudishie Tanzania yetu iliyokuwa imejaa watu wenye huruma, upole, upendo, udugu, umoja, amani na raha!
#AchaWoga 2020
amina mkuu, kwa maoni yangu kwa namna serikali ya Tanzania ilivyovurugwavurugwa katika anga za kimataifa hasa ya magharibi mimi naona lolote laweza kufanywa na serikali hii ili kujaribu kupunguza makali ya maneno ya lissu kwenye anga za kimataifa kuhusu serikali kuu kuingilia mahakama, bunge n.k,
nahisi kwenye hii issue kama kuna mchezo fulani umechezwa hivi...................................
 
Kutolewe tamko la dharura dhidi ya Tanzania tunakoelekea watu hawatajificha kwa id fake tena watatoka live!!
 
Vyovyote iwavyo Mungu hapangiwi,wala kukumbushwa namna ya kumuadhibu muovu wake.

Lissu anatakiwa arudi nyumbani,kuliko kudhurula kwa kigezo cha kuhubiri habari mbaya za serikali ya tz,hawa jamaa ambao mnadhani ni wabaya wake,wanaweza kufanya chochote,popote,muda wowote kama wakitaka.
uongo, wao si mungu na wala hawana hati miliki ya dunia hii.
 
Ndio maana nasema tafsiri ya haki huwa ni pana sana,

Kwako inaweza ikawa haki kwa mwingine ikawa uonevu na kinyume cha hapo,

Ndio maana tukawekeana utaratibu wa rufani.
kwa udhaifu wa mwili wake mkisha mu incage mtamfanya nini?
 
Jiwe lenye damu, linabebwa katika manengo ya kuabudiwa. Ila mie namuombea sana kwa mwenyezi, akili yake huyu anayejifanya mtumishi wa Mungu na watanzania kiujumla, imrejee na akili ya binadamu imrudie. Anaoneka huyu mtu hana roho wa kibinadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja hujibiwa Kwa hoja. Lissu ameenda kuelezea yaliyomsibu baada ya kuona mamlaka za nchi hii haziko tayari kupeleleza wala kutoa tamko la msingi kuhusu yale yaliyomsibu Lissu. Nashauri Serikali ipitie kule kote alipopitia Lissu yaani Ulaya na Marekani ili wajibu hoja zake. Kutaka kumuuwa sio jibu, ni kukosa majibu ya hoja zake! Poleni sana. Pengine Rais ama Waziri wa mambo ya nje waanze na "Hardtalk" kujibu hoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka haziko tayari kupeleleza, lakini yeye ametoa ushirikiano gani kwa hizo mamlaka. Huo muda aliotumia kuzurura nje angekuja kuzisaidia hizi mamlaka kutafuta ukweli. Hakuna haki isiyokua na Wajibu. Matokeo yake amekua a judge of his own case. Yaani yye amechunguza (Polisi) na kuhukumu (mahakama) kwamba watu fulani wanahusika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyovyote iwavyo Mungu hapangiwi,wala kukumbushwa namna ya kumuadhibu muovu wake.

Lissu anatakiwa arudi nyumbani,kuliko kudhurula kwa kigezo cha kuhubiri habari mbaya za serikali ya tz,hawa jamaa ambao mnadhani ni wabaya wake,wanaweza kufanya chochote,popote,muda wowote kama wakitaka.
Inaelekea hata passport huna umekosa exposure huelewi dunia ni heli ungekaa kimya! Watu wangejua una akili
 
MIMI si Muislamu lakini sasa naanza kuamini katika imani hii. Baada ya Tundu Lissu kushambuliwa na watu wasiojulikana Wazee wa Kiislamu Pemba, Unguja, Tanga, Bwagamoyo na Dar es salaam walisoma kinachoitwa "al-badir". Ninaambiwa ikisomwa hii basi aliyetenda jambo la unyama kwa siri wanapatwa na madhara. Wanaweweseka, wanaweza kuongea wenyewe kama vichaa, na wengine wanaweza hata kujiua au kuumbuka. Kwa mbali na karibu naona dalili za matokeo ya "al-badir".

Imenichukua muda kuamini macho yangu na masikio yangu. Nimetafakari na kujiuliza hatimaye nimejiundia majibu kuwa Tundu Lissu amehukumiwa kifo na watu wasiojulikana kwa gharama na namna yoyote. Ninaumia mno! Nashindwa kuamini kama hii ni Tanzania au Rwanda!

Kitendo cha Mawakili wa Serikali kupeleka ombi mahakamani Kisutu ili afutiwe dhamani ili aandikiwe Hati ya Kukamatwa popote alipo chini ya jua ni jaribio la kifo lililoshindwa kama risasi 16. Inaumiza mno. Lissu ameikosea nini nchi hii kiasi cha kumtakia kaburi? Kwa nini tumefikia hatua mbaya namna hii? Imefikia hatua dunia iitazame Tanzania kwa jicho lisilo la kawaida.

Lissu amepigwa risasi 16 mwilini. Mwili wa Lissu aijuaye ni mkewe lakini mwenyewe anasema "umechanwachanwa". Mifupa imevurugwa. Lissu ana maumivu makali. Lissu amesahau hata tendo la ndoa maana nyonga haifai. Lissu amepona kichwa tu. Yuko kitandani Ubelgiji. Mnaitana, mnakaa chini, anakuwepo mwenyekiti, hoja inatolewa, "sasa tunamfanyaji Lissu". Hatimaye mnaafikiana kuwa afutiwe dhamana ili tumkamate mgonjwa huyu, badala ya kulala wodini akalale Segerea kusiko hata na panadoli ya kutuliza maumivu. Hii ni nini kama siyo kutaka Lissu afe?

Ninatamani kuwaona kwa macho mawakili hawa kwa macho yangu. Niwaulize ni dini gani? Wana familia? Wamewahi kuumwa au kuuguza? Ni binadamu kama sisi? Wana nyama na damu kama sisi? Nani aliwatuma kufanya jaribio ovu hili? Walilipwa shilingi ngapi kwa jaribio hili?

Hakimu Simba Mungu akubariki. Mungu akuzungushie fensi ya Moto. Umeongozwa na Mungu kutupilia mbali jaribio hilo la shetani uliposema "HUO SI UBINADAMU". Najua umewaudhi mno waliopanga jaribio hilo. Umejiweka hatarini. Mungu akutetee! Thawabu yako ni kubwa mno!

Inawezekana baada ya jaribio hili kushindwa kikao kitakaa tena kutafuta Lissu afanywe nini? Maana Hakimu Simba amenawa kama Herode kwa Yesu. Lakini bado kuna sauti za asulubiwe?

Natoa wito kila mtu kwa imani yake tumuombee Lissu. Mungu awatie upofu wote wanaopanga "kummaliza". Mungu mtetee maana anakusudi naye!

Tumeshindwa kumdhibiti Lissu kwa hoja sasa tunataka afe gerezani. Mungu shuka! Kama hiyo ndiyo Tanzania mpya, basi siitaki. Mturudishie Tanzania yetu iliyokuwa imejaa watu wenye huruma, upole, upendo, udugu, umoja, amani na raha!
#AchaWoga 2020

Watu kama nyinyi tunawaita. Departed brothers and sisters. Know thy self. Kwanini huwa hamna Pande mbili za kuwafikirisha, why hamna hata doubts katika arguments zenu. Ukiona hivyo wahini MILEMBE. Jamii Forum is expected to have people who think and research and argue. Wanaoingia kwenye mind the wengine na kujifunza kuwa : Wonder is the beginning of Wisdom. Wale ambao watakaa na kupima with critical mind the why and the end of those means and if at all for the sake of others, any means will justify the end. Please punguzeni ujinga basi hata kama Mnatumwa Kuandika.
 
Back
Top Bottom