Bolivia declares Israel terrorist state, scraps visa exemption agreement

Bolivia declares Israel terrorist state, scraps visa exemption agreement

Status
Not open for further replies.
Kwani Hamas anavyorusha makombola israel yasingekuwa yanadakwa yangechagua wanajeshi tu. Kuzeni akili zenu ndo mtajua. Atakaye ibariki israel naye atabarikiwa .

Makombola ya Hamas huwa hayaui, ya Israel taifa lenye ahadi ulinzi wa Mungu pekee ndo yanaua!!!!
 
Tuungane kuipoteza israel katika ramani ya dunia
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
 
Tuungane kuipoteza israel katika ramani ya dunia
Sent from my RM-846_im_mea3_286 using Tapatalk
hilo halitakuja kutokea, Mungu alishaahidi kuwa hata russia (ufalme wa kaskazini) na chini/iran/uarabuni (ufalme wa mashariki) au hata wa magaribi vikiungana dhidi ya israel Mungu atashusha mvua ya mawe na mapigo makubwa na majeshi yao yatateketea 2/3. Mungu aliyekuumba hata wewe alishaapa kuwa hatakuja kuwatupa israel, hata kama walishawahi kumuasi lakini sasa wamemrudia na wamerudi kwenye nchi yao ya ahadi. Mungu ibariki Israel.
 
...and we declare bolivia to be the cursed nation mpaka watakapo tengua kauli...
 
Bolivia nini Kitu gani haswaaa...Nayo ni Nchi....
 
Bolivia ni taifa la walima viazi...rais wao ndio yule anayevaa makata mbuga
 
Ngoja tumalizane na Hawa Watani wa jadi Gaza....Halafu Kablaa atujamaliziaa Kuwasambaratisha Iran tutakujaaa Fanya mazoezi Hapo Bolivia🙂....mtaelewaaa tu ISRAEL NI TAIFA LA MUNGU
 
Sasa wewe unaongea nini sijui hapa, maana Bolivia, iko Amerika, lakini Bolivia na Marekani ni nchi mbli tofauti. Marekani ndio waliom-declare Mandela terrorist, sio Bolivia. Sasa unataka kutuambia nini?

Binafsi naona kitendo cha Bolivia ni cha kishujaa na chenye kutoonyesha unafiki, sawa na alivyofanya Nyerere miaka ya nyuma kuwaondoa na kufunga ubalozi wa Israel nchini miaka ya nyuma.

Tunaelewa Israel ina bifu na Hamas, lakini hiyo sio sababu ya kuua raia wa Gaza kama wanavyofanya. Huwezi kuchoma nyumba na watu wasio na hatia ndani yake kwa kuwa tu kuna mwizi kajificha ndani ya hiyo nyumba.

Kama inavyosemwa na watu mbalimbali, katika vita hii ya Israel na Palestina, Hamas wanaua wanajeshi wa Israel na Israel wanaua raia ya Palestina, kutia ndani watoto, wanawake na wazee. Hili halipaswi kukubalika hata kidogo.

We ni mnafiki wa enzi za mtume, hivi hizo roketi za hamas zinalenga wanajeshi tu?

waisrael wanaua magaidi kitalaamu cheki video hapa chini ili usirudie kutuongopea na picha zenu za syria mlizofanyia photoshop ili muonewe huruma:

 
Last edited by a moderator:
LA PAZ (AFP & RT) – Bolivia on Wednesday renounced a visa exemption agreement with Israel in protest over its offensive in Gaza, and declared it a terrorist state.

President Evo Morales announced the move during a talk with a group of educators in the city of Cochabamba. It "means, in other words, we are declaring (Israel) a terrorist state," he said.

The treaty has allowed Israelis to travel freely to Bolivia without a visa since 1972. Morales said the Gaza offensive shows "that Israel is not a guarantor of the principles of respect for life and the elementary precepts of rights that govern the peaceful and harmonious coexistence of our international community."

Earlier in July, Morales filed a request with the UN High Commissioner for Human Rights to prosecute Israel for "crimes against humanity."
Other Latin American countries including Chile and El Salvador recalled their ambassadors in Israel on Tuesday for consultations due to the increased violence in the Gaza Strip against civilians. The move follows similar actions by Ecuador, Brazil and Peru who have also recalled their ambassadors.

More than two weeks of fighting in Gaza have left 1,300 dead and 6,000 wounded amid an intense Israeli air and ground campaign in response to missile attacks by the Islamist militant group Hamas.

In the latest development, at least 16 people were killed after two Israeli shells slammed into a United Nations school, drawing international protests. Bolivia broke off diplomatic relations with Israel in 2009 over a previous military operation in Gaza. In mid-July, Morales filed a request with the UN High Commissioner for Human Rights to prosecute Israel for "crimes against humanity.

Source:alghad


hahahahaha, poor Bolivia.
 
Mimi naunga mkono shughuli za Israel, wacha wapalestina wawndelee kukumbatia makombora huku Israel ikiwashauri wakae mbali na maeneo ya wApiganaji harafu wanataka makombora ya IDF yasiwaguse!

"harafu"...Kiswahili kinakupa shida sembuse issues!?
 
hilo halitakuja kutokea, Mungu alishaahidi kuwa hata russia (ufalme wa kaskazini) na chini/iran/uarabuni (ufalme wa mashariki) au hata wa magaribi vikiungana dhidi ya israel Mungu atashusha mvua ya mawe na akubwa na majeshi yao yatateketea 2/3. Mungu aliyekuumba hata wewe alishaapa kuwahatakuja kuwatupa israel, hata kama walishawahi kumuasi lakini sasa wamemrudia na wamerudi kwenye nchi yao ya ahadi. Mungu ibariki Israel.

ulokole na dini za ushabiki bila kusoma vizuri neno la Mungu, ni tatizo kubwa.
 
Ngoja tumalizane na Hawa Watani wa jadi Gaza....Halafu Kablaa atujamaliziaa Kuwasambaratisha Iran tutakujaaa Fanya mazoezi Hapo Bolivia🙂....mtaelewaaa tu ISRAEL NI TAIFA LA MUNGU

Mungu yule aliyekula makofi alafu akatundikwa mtini au yupi?
 
Raia wa Palestina wote..ni magaidi kwa kuwa wanakumbatia magaidi na wanastahili kufa....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom