Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
UKIWA MUISLAMU MATAKO TAKO YANAKUWA NI SEHEMU YA SHETANI KUJIBURUDISHA KWA MICHEZO YAKE.
Kasema Mtume (s.a.w) "Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala, basi anapuliza (anampuliza) katika matako yake, basi yule mtu inamwijia fikiria ya kuwa umemtoka upepo (kajamba) nae haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke kwenye sala mpaka asikie sauti ya kumtoka huo upepo au anuse harufu yake". (KITABU CHA MKWELI MWAMIU, JUZUU YA 1 -2 HADITHI NA. 74, UK 42)
Sasa hiyo adha ya kupulizwa matako na shetani kwa kila unaposali nani anaitaka? Yaani kila ukienda kusali basi shetani yeye yupo matakoni tu, najiuliza hivi shetani ambaye ni muislamu hakuona sehemu nyingine mpaka akomae na matako tu? Kina mama Wa Kiislamu zindukeni, maana Wanaume wao wameshazoea, ndiyo maana hawataki ninyi mwende msikitini ili mpulizwe pamoja nao, hivyo sisi Waristo tunaojitambua, kwa tendo hilo la kupulizwa matakoni na shetani hatuutaki uislamu.
Kumbe! aisee, mimi huwa najiuliza kwa nini Quran inazungumzia kujifanyia usafi makalioni muda wote,hadith hivyo hivyo,najiuliza kwa nini ni makalio tu kumbe ni Devil's playground. Imekuaje sasa Allah akaruhusu shetani achezee makalio ya wafuasi wake mkuu?