figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,957
- 63,767
nilisikia wameungaa na shabaab? africa inahitaji spark ndogo sana iwe conflagrated. assume ADF, haram, shabaab, seleka, maghreb na wale walibya walianzishe kwa kushirikiana!Hao bako Haramu wasije tu wakaanzisha ISIS yao Africa, wakijaribu mi ntawaponda na jiwe au ntawafinya.
nilisikia wameungaa na shabaab? africa inahitaji spark ndogo sana iwe conflagrated. assume ADF, haram, shabaab, seleka, maghreb na wale walibya walianzishe kwa kushirikiana!
Nadhani ndio mwisho wao, wakiisha kabidhi watoto tu wapigwe mabomu ta sumu waishe...