Boi manda modern construction

Boi manda modern construction

msikuu

Member
Joined
Aug 2, 2017
Posts
7
Reaction score
6
Habarini wakuu. Naomba niwaulize swali wana jf, je kuna mtu alitumaga maombi katika hiyo kampuni tajwa hapo juu,na je walishaita watu kwenye usahili au bado??naombeni Masaada kwa anayefahamu anijuze. Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara nyingi haya makampuni huwa wanafanaya kutangaza kazi.. ili wapate cv za watu wazitumie kuomba miradi.. hiyo nakumbuka ilishawahi nitokea nikatuma cv kumbe walikiwa wameahidiwa watapata mradi mwisho wasiku wakaangukia pua... Nashauri msipende kutuma cv zenu kwenye kampuni ambazo hazieleweki au nivizuri kupiga simu ili kupata ufafanuzi..

Iphone 5
 
Habarini wakuu. Naomba niwaulize swali wana jf, je kuna mtu alitumaga maombi katika hiyo kampuni tajwa hapo juu,na je walishaita watu kwenye usahili au bado??naombeni Masaada kwa anayefahamu anijuze. Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu yawezekana walioko jf hakuna aliefanya application..

Bora uende kuuliza kwa wahusika kabisa..
 
Why don't you call them? Hii ndio njia rahisi zaidi kuliko kuendelea kusubiri wakati watu wapo kazini
 
Mimi niliomba lakini naona jiiiii kimya

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Back
Top Bottom