monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,631
Sote tuimbe,
"Naliamsha dudeeeeeeee
yoyooooooo
Naliamsha dudeeeeee yoyoooooo
Naliamsha dudeeeee yoyooooooo"
Niaje,niaje,niaje, niaje,niaje,niaje
Woooooooooooooozer
Ni shida tupu
Habar za kushinda ndugu zangu wanabodi,
Sometime habar za siasa,kukaza kwa vyuma na kununuliwa kwa madiwani na wabunge tuna weka pembeni then tuna kula muziki mtamu
Story iko hivi...huwa napenda sana kufuatilia interview za Nyoshi el Saadat a.k.a Sauti ya Simba a.k.a Baba na Brandina,sasa leo nikaingia You tube kuangalia kama kuna jipya lolote kumuhusu,nikakuta kuna bonge pini (kitu kinaitwa mama wa kambo)
Humo ndani wamo mafundi kibao kama vile Nyoshi el-Saadat,Toto Kalala,Elombe Kichinja na wengineo wengi
Jamaa baada ya kufukuzwa Fm academia 'the dream team' ameamua kuanzisha band yake inaitwa Bogoss a.k.a nyumba ya baba
Tuli-miss vitu vzr kama hivi sasa ladha ya muziki wa dance inaanza kurudi
"Naliamsha dudeeee yoyooooooo"
Noma sana!