Boflo Kumbuka Tulipotoka!

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,312
Boflo je unakumbuka enzi hizi?? Je ulishajua kutumia Computer enzi hizo???
 
Nyie mnajuana nyie sie wengine tunapita tu!
 
Heading ilinitisha nikajua anaonyesha naniii', wanakuja jamii ya aki-boflo watakupa majibu
 
Kuna watu bado wanatumia floppy disk na hizo audio cassetes???

Muda si mrefu na CDS zitakuwa hazitumiki....
 
Aisee mimi ninaCollection ya nyimbo kwenye Cassetes kama maboksi mawili sijui nimuuzie nani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…