Boflo alivyokuwa mdogo...

MziziMkavu leo nimeamini kama ww mganga kweli.....ngoja nitascan picha yangu ya utoto nikutumie,
 
Last edited by a moderator:
duuuu kweli wewe mkaree bofloo hayo mawani ni noumer..
 
Hapo usije ukauliza alikuwa anaangalia picha gani! Ingekuwa picha za shule asingevaa hicho kitshirt chake!
 
kwa hiyo hapo kinachotakiwa kuliviwa alone ni tumbo,miwani au huyo mdoli boflo wote?
 
wapi....hakuna kitu....sharobaro tu huyo.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…