Boeing 787-8 Dreamliner nani anajua bei yake tofauti na Rais?

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Wakuu naona kila mtu ana swali lake ambalo haliwezi kupata majibu lakini tujiulize kama Rais anaendelea kupuuza matakwa ya katiba, sheria na mihimili mingine kama BUNGE na MAHAKAMA mnadhani nini kitatoea mbeleni? Ndege ananunua Bunge halijui, treini ananunua Bunge halina taarifa mala vivuko mala Meli ivi kodi zetu nani anazisimamia? View attachment 806183
FB_IMG_1530524627897.jpg
 
Wakuu naona kila mtu ana swali lake ambalo haliwezi kupata majibu lakini tujiulize kama Rais anaendelea kupuuza matakwa ya katiba, sheria na mihimili mingine kama BUNGE na MAHAKAMA mnadhani nini kitatoea mbeleni? Ndege ananunua Bunge halijui, treini ananunua Bunge halina taarifa mala vivuko mala Meli ivi kodi zetu nani anazisimamia? View attachment 806183View attachment 806184
Wanadamu hamna jema, zikifanyia maendeleo kodi zetu maneno hatukosi... Hao waliozokusanyaga miaka na miaka na hamkuona mambo kama ya sasa mbona hamkusemaa...Punguzeni ujuaji, ndio unaoligharimu sana taifa coz kila mtu anajifanya kujua, na zaidi tunaishia kukatishana tamaa..
 
Umegonga msumari pale pale, ujuaji mwingi.
 
Wanadamu hamna jema, zikifanyia maendeleo kodi zetu maneno hatukosi... Hao waliozokusanyaga miaka na miaka na hamkuona mambo kama ya sasa mbona hamkusemaa...Punguzeni ujuaji, ndio unaoligharimu sana taifa coz kila mtu anajifanya kujua, na zaidi tunaishia kukatishana tamaa..
Jamani mtoa maada ametoa wazo lenye maana sana.....katiba hinalitaka bunge kujua na kuhizinisha matumizi yote ya serikari sasa inakuaje serikari kununua iyo ndege bila bunge kujua chochote wala bei ya iyo ndege hukuna anae jua.... xo why na ww unakuja na pumba zako hapa kujifanya unatetea ujinga hapa
 
hv mtu anaekuibia kitu kw kuongeza pesa na yule anayehiba fedha bila kuacha chochote bola nan watanzania tuamkeni no one is perfect pia magufuli anayo mapungufu kwel ila pia ni mtu muimu katika kuliendeleza taifa letu [HASHTAG]#support[/HASHTAG] magufuli
 
Unaposema Bunge halina taarifa una maana gani?

Waliyokua kwenye bunge si ndiyo hao hao wapo kwenye hizo wizara za kuidhinisha hayo malipo?

Cc: mahondaw
 
Jamani mtoa maada ametoa wazo lenye maana sana.....katiba hinalitaka bunge kujua na kuhizinisha matumizi yote ya serikari sasa inakuaje serikari kununua iyo ndege bila bunge kujua chochote wala bei ya iyo ndege hukuna anae jua.... xo why na ww unakuja na pumba zako hapa kujifanya unatetea ujinga hapa
Punguzeni malalamiko
ulimradi vitu vinaoekana no complain
 
Kwani kanunua ndege za kibinafsi kwa hela ya serikali?

Acheni izo basi, bunge ni too slow na huyu atleast hata akiboronga ananunua chakula cha wote!!
 
Back
Top Bottom