Bodyguard napatikana

-Uwezo wangu ktk matumizi ya silaha ni portable
-nakimbia kilometa 16 bila kupumzika
-Kuogelea najua
-lugha 2 tu kimombo na kiswahili
-Uwezo wa sanaa ya mapigano ni wa kawaida Niko fit
Si uanze na riadha sasa kama una mambio yote hayo
 
Watanzania wengi sijui uelewa ni mdogo? Sijui ni kutokua serious? Yaan nashangaa mtu anaandika uzi mzuri kwa ajili ya msaada/ sapoti ila wadau wengine mnaleta mambo yenu tofauti kabisa
Aah mani hapa

Ndo tunafanya uzi uzidi kuwa juu

Tunamsaidia kupandisha uzi ili watu wauone


Usituone wajinga mani
 
Nikajua unatumia mikono, kumbe visu, mapanga na silaha za moto. Hivi kwa mfano ukiwa kwenye msafara wa Diamond utabeba hayo mapanga yako ?
Unadhani panga linalobebwa ni la kukatia miwa? Kama mkono ungetosha basi walinzi wa rais wasingebeba silaha
 
Tembelea page ya harmonizer yule konde boy kule instagram,kuna tangazo la uhitaji wa bodyguard, tangazo limetoka siku tano zilizopita.ukitaka kuongeza ujuzi wa sanaa ya mapigano nicheki pm, (Russian martial arts).
 
Hivi usalama umepungua kiasi hiki hadi mtu uanze kutafuta mtu wakukulinda ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…