We unajua kulinda bulubendi tu.Atakayehitaji bodi gadi wawili
Mwingine nipo hapa
[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ila we jamaa
[emoji28] [emoji28] Mimi hii ndiyo silaha ya kwanza. Silaha ya mwisho ni mbio kali zisizo za kawaida.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We hufai kabisa, sasa ukitimua mbio boss wako unamwacha na nani?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
We hufai kabisa, sasa ukitimua mbio boss wako unamwacha na nani?
[emoji28] [emoji28] Mimi hii ndiyo silaha ya kwanza. Silaha ya mwisho ni mbio kali zisizo za kawaida.
Nakuwa nimempa mafunzo sawa na yangu. Kung'ata na kukimbia.
Hana tatizo kubwa anamshono wa busha tu na tatizo la machoUnauwezo gani katika matumizi ya silaha, portable na sophisticated.?
Unauwezo gani kwenye sanaa ya mapigano.?
Unauwezo wa kuongea lugha ngapi za ndani na kimataifa?.
Urefu wako, Rangi na uzito.?
Unauwezo wa kukimbia km ngapi bila kupumzika?
Unajua kuogelea? na uwezo wa kurescue kwa maana ya kuokoa watu wawili labda na zaidi deep sea?
Una records zozote za uhalifu au kukaa jela?
Unatatizo lolote la kiafya? au historia ya Afya yako?
Ndio Interview yenyewe hiyo mkuu inaanzia hapa?
Ohoo [emoji28]We unajua kulinda bulubendi tu.
Hibi moderators rafiki zako hawahitaji walinzi ? [emoji28][emoji28] [emoji28] [emoji28]
hahaha.. mi mwenyewe nahitaji bodyguard wa kike Chief. awe na tako.Nahitaji bodyguard wa kike ili aweze kunipa ulinzi na huduma zote muhimu nikiwa safarini
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji41][emoji41][emoji1787][emoji1787]Wewe si nilikukabidhi Khantwe umlinde mpaka apate mimba?
Wale wakihitaji walinzi nikapata nafasi nawang'oa meno.Hibi moderators rafiki zako hawahitaji walinzi ? [emoji28]
Nikajua unatumia mikono, kumbe visu, mapanga na silaha za moto. Hivi kwa mfano ukiwa kwenye msafara wa Diamond utabeba hayo mapanga yako ?Hiyo ni silaha ya mwisho kujihami, Natumia Visu, mapanga na hata Silaha za moto ukiweza nipatia....