Habari zenu wapendwa,
Ninaomba mnijulishe ni sehemu gani hapa Dar ama hata nje ya Dar ambako kunauzwa bodi nzuri za Magari? Maana yangu nanunua bodi ya gari halafu Mimi naweka injini pamoja na gear box na vitu vidogo vidogo. Naomba kujulishwa mahali zilipo kwa gharama nafuu.
Namba yangu ni 0716 00 23 23