Body language ya viongozi wetu

locust60

Senior Member
Oct 1, 2008
101
12
Mwenyetiki wa CHADEMA wasalimiana na Raisi ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM(chama tawala).Kutoka kwenye picha unaweza tambua yupi ni mkuu wa nchi? ni alama gani zinatambulisha ukuu wataalamu wa body language tuambieni.
 

Attachments

  • GO9G1385.JPG
    GO9G1385.JPG
    27.9 KB · Views: 391
Jk amempa fm updown hand(sign of oppression), fm amejitahidi ku-neutralize kwa double handler bila mafanikio, so jk ame-maintain supirior position.
 
Jk amempa fm updown hand(sign of oppression), fm amejitahidi ku-neutralize kwa double handler bila mafanikio, so jk ame-maintain supirior position.

on the contrary, it is just the matter of whether you are on the left or right side. on this side jk's thumb is on top on the other side it is mbowe.
 
Kama FM anasema "Fungasheni kabla ya 2015" la sivyo tutawatoa nduki....
 
hiyo mikono itashikwa kwa njia zote, na hizo posture zitakuwa za aina zote....ila mwisho wa siku rais ni rais tu, na akilazimisha DOWANS ilipwe italipwa tu, hata kama angekuwa amepiga magoti wakati wa kusalimiana na mbowe.
 
Mbona kama JK kaepa kidogo hivi alifikiri Mbowe anampelekea ambakati nini ya chini ya kidevu...
 
ni kama mbowe anasema 2likuwa tunatania 2(arusha) usiogope tuko pamoja. yes i know.
 
Kidizaini Jk kama anamuogopa Mbowe:first:

I do agree with you 100%. Alimwangalia as if 'sasa umeamua kuja kunitia aibu mbele za watu??' Jasho linamtoka hahahhah hizi sinema za bure jamani raha tupu!!!Hii ni dhahiri kwamba mkulu kura uliiba sasa guilty conciousness inakusuta vibaya vibaya. Fanya mambo kieleweke ama sivyo miaka mitano itakuwa ya mateso sana.
 
Back
Top Bottom