GFM
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 706
- 6
Nimesoma kwenye thread kule ati wakati mwingine body language tells it all.
Sasi mie hapa, body language inanitatiza (sijui kama ni mie au kuna wengine) naomba
kinadada mtusaidie. Toa mfano na maana yake tafadhali, ni ktk kudumisha mahusiano.
Kwa mfano sikumoja .siju Preta kaamua kulala na Jens sasa hapa sijui tafrisi
yake ilikuwa nini mie nkadhani tu mwenzangu kachoka na kazi za machana ..
kumbe naambiwa maana yake ni kwamba .. Dont me tonite ..... Je hii nikweli :thinking: