Body Language Akinadada Tafadhali Tujuzeni

GFM

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
706
6
Nimesoma kwenye thread kule ati wakati mwingine body language tells it all.
Sasi mie hapa, body language inanitatiza (sijui kama ni mie au kuna wengine) naomba
kinadada mtusaidie. Toa mfano na maana yake tafadhali, ni ktk kudumisha mahusiano.
Kwa mfano sikumoja ….siju Preta kaamua kulala na Jens ……… sasa hapa sijui tafrisi
yake ilikuwa nini mie nkadhani tu mwenzangu kachoka na kazi za machana ………..
kumbe naambiwa maana yake ni kwamba …….. Don’t me tonite ..... Je hii nikweli :thinking:
 
....any way for my prspective kulala na jinsi is not body language, when talk abt body language unamaanisha kama kukonyeza, kubinua midomo,kugeuza geuza macho,kutikisa bega.....etc nadhani hapo utaunganisha na vingine ving.
Back to ze point ladies tunatumia sana hizo body language kama unakuwa umempenda mtu na its hard for you to tell straight foward sometime unamuangalia kwa macho ya kurembue(ingawa kuna wengine ni macho yao tu)but tunaweza sana tumia viungo vyetu kuwakilisha ujumbe mahususi.
Wana JF goodmoring:yield:
 
...body language ndo nyenzo kuu in communication kwa wadada
-akina kaka weng hawajui tunaongea nini.....saa nyngne pia ata sisi atujui tunazungumza nin lakin our body speaks.
-body language haidanganyi..haipotez muda na ipo frendly pbm ni katika kujua kuitumia body language...mijitu ya sociology,saikoloji ina raha katika i...!!
 
@wakuchakachua...ebu ntafsirie iz picha mbili i dnt kn w hw to cal t ..ni body language o stuation language...
1.umemkuta mama ametandika kitanda na amemwagia maua kitanda kizima na amelala na kinait dress cha utata
2.umemkuta mama katandika shuka la kawaida tu na amelala na jeans.
aya apo itakuwaje sasa...whch z whch on whch?
 
Rose wacha nikujibu;

1. Hapo mama ataka lala, hataki kusmbuliwa(anajifasii)... Usifikri unaitwa babu ehhhh...!!!!!

2. Huyo mama wapili, katandika kitanda... ulale pekeo .. yeye yupo safarini.....!!!!

Na Hicho kijicho chako ROSE bwanaaaaaiiiii !!!!!!!!!!!!!!!
 
Nakubaliana na wewe lakini jeans sio pajama pia, sasa hapo kuna ujumbe au hakuna
ndio maana naomba msaada hapa
 
...body language ndo nyenzo kuu in communication kwa wadada
-akina kaka weng hawajui tunaongea nini.....saa nyngne pia ata sisi atujui tunazungumza nin lakin our body speaks.
-body language haidanganyi..haipotez muda na ipo frendly pbm ni katika kujua kuitumia body language...mijitu ya sociology,saikoloji ina raha katika i...!!
Sasa Rose hapo nieleweje kama na wewe huelewi mwili wako unataka/sema nini?
 
@wakuchakachua...ebu ntafsirie iz picha mbili i dnt kn w hw to cal t ..ni body language o stuation language...
1.umemkuta mama ametandika kitanda na amemwagia maua kitanda kizima na amelala na kinait dress cha utata
2.umemkuta mama katandika shuka la kawaida tu na amelala na jeans.
aya apo itakuwaje sasa...whch z whch on whch?
Hapo sasa:smile-big:
 
Rose wacha nikujibu;

1. Hapo mama ataka lala, hataki kusmbuliwa(anajifasii)... Usifikri unaitwa babu ehhhh...!!!!!

2. Huyo mama wapili, katandika kitanda... ulale pekeo .. yeye yupo safarini.....!!!!

Na Hicho kijicho chako ROSE bwanaaaaaiiiii !!!!!!!!!!!!!!!

ahhh ebu nenda uko babuuuuu wew mrongo hufai

umenijibu urongo stak
na leo ntalala na baibui + raba nkukomoe....:yield::yield:
 
Rose wacha nikujibu;

1. Hapo mama ataka lala, hataki kusmbuliwa(anajifasii)... Usifikri unaitwa babu ehhhh...!!!!!

2. Huyo mama wapili, katandika kitanda... ulale pekeo .. yeye yupo safarini.....!!!!

Na Hicho kijicho chako ROSE bwanaaaaaiiiii !!!!!!!!!!!!!!!
Hiyo No 2 haiwezekani ikawa amechoka tu na amejisahau akalala na jeans, just want to not over interpret :smile-big::smile-big:
 
Sasa Rose hapo nieleweje kama na wewe huelewi mwili wako unataka/sema nini?

mim naelewa..naweza zungumza na wewe kwa body language tu
wewe tunakaaa sehemu tu kwa dk 30 tukitoka apo naweza nkakuandikia profile yako nzima juu ya abcd.....
gestures /body language ni rahisi sana kuisoma na wala haidanganyi mimi mtu simsikilizagi maneno yake nachek action +gestures zake tu unaweza ukampata mazima anataka nini ,anawaza nini,anataka kufanya nini na unajua umfanyaje accrdngly iwe hm,ofc au popote pale....
--wakat tupo chuo kulikuwa na vitabu ivo vya body language n alike..ata uku mtaani vipo kibaaaooo +kuna kaz nyingine ni lazma mpewe coz ya body language n saikoloj sjui nanini tena...haaaaaaaaaaaaaa nimechoka kuandika babu weeeeeeeeee byeeeeeeeeee:yield::yield:
 
Hiyo No 2 haiwezekani ikawa amechoka tu na amejisahau akalala na jeans, just want to not over interpret :smile-big::smile-big:

hahha hahah amechoka?
na joto ili la dsm?
mmh aya
mbona kajisahau leo tu na leo mchana tuligombana?
 
Rose wacha nikujibu;

1. Hapo mama ataka lala, hataki kusmbuliwa(anajifasii)... Usifikri unaitwa babu ehhhh...!!!!!

2. Huyo mama wapili, katandika kitanda... ulale pekeo .. yeye yupo safarini.....!!!!

Na Hicho kijicho chako ROSE bwanaaaaaiiiii !!!!!!!!!!!!!!!
autak kijicho changu eennh?????
niletee miwan bas jaman...macho yangu yamestak kwa kukonyeza konyeza...gve me medicine i wl stp dat!!!
 
mapenzi yanawakilishwa na vitu tofauti.

siyo lazima kuongea, ninapokuwa na bwana mkubwa akiona mara nimemtumia ua, mara kisses, akirudi hm nipo na ukanga mmoja,madeko kwa wingi yeye mwenyewe anajua leoooo mama zimepanda,

siku nyingine mambo yanakuwa tofauti akili inawaza pesa na yeye mwenyewe anajua
 
Nimesoma kwenye thread kule ati wakati mwingine body language tells it all.
Sasi mie hapa, body language inanitatiza (sijui kama ni mie au kuna wengine) naomba
kinadada mtusaidie. Toa mfano na maana yake tafadhali, ni ktk kudumisha mahusiano.
Kwa mfano sikumoja ….siju Preta kaamua kulala na Jens ……… sasa hapa sijui tafrisi
yake ilikuwa nini mie nkadhani tu mwenzangu kachoka na kazi za machana ………..
kumbe naambiwa maana yake ni kwamba …….. Don't me tonite ..... Je hii nikweli :thinking:
Mkuu, siku hizi nadhani maongezi yataisha kabisa!

1.Uvaaji wa maneno fulani inaitwa VIKUKU, nasikia inatoa ujumbe kwa walaji!
2.Sketi fulani za mipasuo ya aina yake inatoa ujumbe muafaka, pia uvaaji chachandu!
3.Nasikia wasichana wengine wanabeba kwenye mkoba funguo za gari na anahakikisha anakuonyesha, ili ujue kuwa hongo isipungue full-tank ya mandolin yake!
4.Wanaotembelea baa wanajua msichana au mwanamke akichagua siti ya peke yake kwenye bar anatoa ujumbe gani!

Body language nayo inakua, just like lugha ya maneno inavyokua!

Nawasilisha!
 
mim naelewa..naweza zungumza na wewe kwa body language tu
wewe tunakaaa sehemu tu kwa dk 30 tukitoka apo naweza nkakuandikia profile yako nzima juu ya abcd.....
gestures /body language ni rahisi sana kuisoma na wala haidanganyi mimi mtu simsikilizagi maneno yake nachek action +gestures zake tu unaweza ukampata mazima anataka nini ,anawaza nini,anataka kufanya nini na unajua umfanyaje accrdngly iwe hm,ofc au popote pale....
--wakat tupo chuo kulikuwa na vitabu ivo vya body language n alike..ata uku mtaani vipo kibaaaooo +kuna kaz nyingine ni lazma mpewe coz ya body language n saikoloj sjui nanini tena...haaaaaaaaaaaaaa nimechoka kuandika babu weeeeeeeeee byeeeeeeeeee:yield::yield:

Hapo kwenye red mamii utaumia, kuna watu wanajua kucheza na body language kinyama!!ndo maana kuna watu wanaitwa "players" hawa watu wanachezaga na body language tu kuwadanganya wasichana.....na tatizo la wasichana tayari wanakuwa na tafsiri zao kuhusu body language kumbe hawajui kuna wanaume wameiba vitabu vyao vya body language code!!Muulize Kimey atakuambia....
 
mim naelewa..naweza zungumza na wewe kwa body language tu
wewe tunakaaa sehemu tu kwa dk 30 tukitoka apo naweza nkakuandikia profile yako nzima juu ya abcd.....
gestures /body language ni rahisi sana kuisoma na wala haidanganyi mimi mtu simsikilizagi maneno yake nachek action +gestures zake tu unaweza ukampata mazima anataka nini ,anawaza nini,anataka kufanya nini na unajua umfanyaje accrdngly iwe hm,ofc au popote pale....
--wakat tupo chuo kulikuwa na vitabu ivo vya body language n alike..ata uku mtaani vipo kibaaaooo +kuna kaz nyingine ni lazma mpewe coz ya body language n saikoloj sjui nanini tena...haaaaaaaaaaaaaa nimechoka kuandika babu weeeeeeeeee byeeeeeeeeee:yield::yield:

karibu tena mama bila wewe jamvi halianuliwi mpaka ufike, nimependa uchambuzi wako, nitumie hicho kiiatbu tafadhali maana hili nalo linanisumbua, nilitoswa na mtu coz ckusoma alama za mwili wake mi nikajua anaumwa, I was about 19 at that time hadi sasa akiniona analizungumzia hilo halafu ananicheka na kunidharau, 2kikutana ananiuliza umekua au bado cku ukikua utaniambia? sasa swali hili nalo ni part ya hii body language
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom