Body building supplements available

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,001
103
Hello JF

kwa wale wanaohitaji supplements za bodybuilding sasa zinapatikana,price laki 3, kopo zima for ( Whey Protein, Mass Gainer, Multivitamin and More)

View attachment 95727

special kwa waliokuwa na plans za kupunguza unene na kujenga musles kwani zina low fats, i can no fats at all maana ni like 1gm ama 2gms of fat with lots of proteins that are easly digestable, na mojawapo ya teknik ya kuweza kuburn fat ni kuhave more musles ili uweze kuburn more calories

View attachment 95728

View attachment 95729

PIA ZIKO KWA WALE WANAOFANYA WEIGHTLIFTING

Kama uko intrested ni pm
 
Mshikaji unalangua. Yaani kopo zima laki tatu wakati hata dola 50 halifiki?

Ama kweli mlio bongo mnaliwa!

Bofya hapa uone hizo products Gaspari Nutrition zinavyouzwa.
 
wewe ukishanunua shipping inakuwje hapo + Ushuru mpaka Tz? unahic itacost bei gani?

just think and then post....
 
i have the same product. kama kuna mtu anahitaji ani pm nitampatia kwa Tsh 70000. Karibuni
 
HELLO JF MEMBERS,

kwa wale wanaohitaji supplements za bodybuilding sasa zinapatikana,price laki 3, kopo zima

View attachment 95727

special kwa waliokuwa na plans za kupunguza unene na kujenga musles kwani zina low fats, i can no fats at all maana ni like 1gm ama 2gms of fat with lots of proteins that are easly digestable, na mojawapo ya teknik ya kuweza kuburn fat ni kuhave more musles ili uweze kuburn more calories

View attachment 95728

View attachment 95729

PIA ZIKO KWA WALE WANAOFANYA WEIGHTLIFTING

Kama uko intrested ni pm

kizungu kinanipita chenga, nifafanulie kiswahili.
 
huu ni wizi ..sup kopo 300,000? no way. anitafute mtu nimeoneshe products nzur kama na tofaut na hizo kwa bei ya kuanzia 60,000 -180,000. achen kununua kwa mtu mwenye tamaa ya kujenga na kununua magari meng zaidi na zaidi bila kufikiria wenzie.....kama vipi pia nenda game utazikuta nying tu.
 
Hujaeleweka....tofaut na hizo au km hizo?..nahitaji asap
 
kdzain kama hazna ishu coz nmewaona walio 2mia weng wanakua vbonge plus ktambi,ila kiukwel unajaa
 
huu ni wizi ..sup kopo 300,000? no way. anitafute mtu nimeoneshe products nzur kama na tofaut na hizo kwa bei ya kuanzia 60,000 -180,000. achen kununua kwa mtu mwenye tamaa ya kujenga na kununua magari meng zaidi na zaidi bila kufikiria wenzie.....kama vipi pia nenda game utazikuta nying tu.
Tena ni wizi juu ya wizi. USA niliziona ni dola 20 jamaa huku anauza dola 150 duh! Na watumiaji pimeni kwanza mioyo yenu kama mizima otherwise mtakuja kuzimika tu ghafla!
 
huu ni wizi ..sup kopo 300,000? no way. anitafute mtu nimeoneshe products nzur kama na tofaut na hizo kwa bei ya kuanzia 60,000 -180,000. achen kununua kwa mtu mwenye tamaa ya kujenga na kununua magari meng zaidi na zaidi bila kufikiria wenzie.....kama vipi pia nenda game utazikuta nying tu.
unazo bado?
 
ona aibu, mungu anakuona !! That price is way too expensive. Bei halisi haifiki 30 bucks....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom