johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Ndio muitoe sasa bei elekezi itashuka soon!Sukari ipo kweli ila ipo stoo sio madukani.
Ndio muitoe sasa bei elekezi itashuka soon!
Anadai tatizo ni wafanyabiashara wasio na uaminifu, halafu anakiri kwamba wanaenda kubadili bei elekezi, yani serikali inapandisha bei!
Bei elekezi ilikuwa unrealistic. Serikali haijali au haijui gharama ya kufikisha sukari dukani.
We inatakiwa kijana mmoja wa chadema ajitokeze , akupe ujauzito uende ukalee ujauzito , maana inaonekana unawapenda Sana chadema haiwez pita siku bila kuwatajaChadema sijui watasema nini
Nikitaka kuunga mkono juhudi humu mtandaoni hizo buku saba nazipata wap???Chadema sijui watasema nini
Mkuu Yohanmbatizaji asitudanganye kama watoto wadogo sukari hakuna, wanategemea hiyo waliyo-import ndiyo waingize sokoni. Kama ipo wameagiza ya nini?Ndio muitoe sasa bei elekezi itashuka soon!
Bwashee unapataje super profit na hii bei elekezi?Mkuu Yohanmbatizaji asitudanganye kama watoto wadogo sukari hakuna, wanategemea hiyo waliyo-import ndiyo waingize sokoni. Kama ipo wameagiza ya nini?
Hivi inaingia akilini kusema kuna wafanyabiashara wameficha sukari na waachwe tu huku raia wanateseka kutafuta sukari ilipo?
Unakumbuka kauli ya Gavana wa DSM? Alisema hivyo hivyo na kwamba atapitisha msako mkali na atataifisha akikamata sukari iliyofichwa. Wiki nzima imepita hawajaambulia kitu.
Ukweli ni kwamba kulikuwa na uzembe mkubwa sana ktk kuagiza sukari nje ili kuziba pengo ambalo viwanda vyetu huwa vinaacha. Kuepuka huo uzembe mzigo unasukumiwa kwa wafanyabiashara kwamba eti wameficha sukari.
Atakuwa ni mfanyabiashara mwenye funza kichwani ambaye ataficha sukari kipindi hiki cha uhaba, wakati ndiyo muda mzuri wa kupata super profit.
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani anamaanisha pamoja na serikali yetu kuweka bei elekezi bado bei halisi mtaani haishikiki..Bwashee unapataje super profit na hii bei elekezi?
Kwa umri wangu nilikuwapo Dar es Salaam mwaka 1982-84 wakati wa kipindi cha maduka ya kaya. Hicho ndiyo kipindi tulikuwa tunapanga foleni ya sukari, mchele nk. Mzee Ali Hassan Mwinyi akaingia mwaka 1985 akafanya soko huria la biashara. Kwamba kila mwenye mtaji alete biashara yeyote kwa kufuata sheria. Ndiyo ikawa mwisho wa maduka ya kaya na kuvaa sulfate badala ya nguo na biashara ya mitumba ikashamiri. Hali iliendelea kuboreshwa kadri miaka ilivyokwenda mbele na BWM naye akapokea kijiti akaendeleza. Naye JK hivyo hivyo akazidi kuifanya Tanzania nchi ambayo ni mahali pazuri pa kuishi. Huyu JIWE kibwengo wa Kinywarwanda ameturudisha nyuma miaka 50 kutuletea foleni ya sukari. Mwaka 2016 alivuruga kabisa biashara ya sukari kwa kuwaingilia importers na kuwaita mafisadi. Na mwaka 2018 akaharibu biashara ya korosho na mwaka 2020 anashindwa kusimamia ugonjwa wa COVID 19Prof. Keneth Bengesi ambaye ni mkurugenzi mkuu wa bodi ya sukari amesema taifa lina sukari ya kutosha na huu uhaba bandia umesababishwa na wafanyabiashara wasio waaminifu kuficha bidhaa hiyo.
Prof Bengesi amesema kwa sasa kuna tani nyingi za sukari zinashushwa bandarini Dsm lakini pia kuna tani za kutosha ambazo tumeimport kutoka Malawi ziko mpakani Kasumulu zinafanyiwa clearance ni zitaingia madukani muda wowote ule kuanzia leo.
Bengesi amesema yatafanyika marekebisho ya bei elekezi ya sukari kwa baadhi ya mikoa ikiwemo Dsm, Tanga, Arusha nk
Chanzo: Channel ten!