Bodi ya Starlet inahitajika

Bodi ya Starlet inahitajika

KIFPA

Member
Joined
Oct 3, 2012
Posts
64
Reaction score
18
Natafuta bodi ya Starlet ikiwa na vitu vifuatavyo:

1. Comlete dashboard ikiwa na vifaa vyake vya ndani kama speedmeter switch za air condition
2. Upande wa mbele ambao haujaumia.
3. Ikipatikana ya milango mitatu hasa yenye mlango wa kulia ndio itafaa zaidi.
4. Si lazima iwe na injini au vifaa vingine.

Inahitajika haraka alie serious anitafute kwa 0755555595 au 0713822134
 
Back
Top Bottom