Ni ya kupigwa viboko iwe mfano dunia nzima,bodi ya hovyo haina maono, hovyo kabisa,imekaa ki miaka ya sabini,inasubiri mkulima aifate,hovyo kabisa kuanzia kiteknolojia,uhamasishajikiukweli tunatakia kila la heri bodi ya pamba kwa malengo waliojiwekea ni taasisi ya kupigiwa mfano dunia nzima
Sisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu wa pamba ni mashahidi kwa hili kwani tunajivunia pamba na jasho letu wengi wetu tumeweza kuwekeza katika miraid mikubwa mikubwa ya maendeleo na kilio cha kisasa kabisa (Teknolojia za kisasa) Kama ingekuwa uwezo wangu ningepandisha hadhi bodi hii na iwe wizara kamili (WIZARA ya MAENDELEO ya PAMBA)
** WEBSITE: www.cotton.or.tz
NB: Wafanyakazi wa bodi hii wanastahili pongezi hasa tukiazimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi)
Pamoja na kwamba mtoa hoja kawapamba bodi isivyostahiki na pengine kaamua tu kutoa hoja ili asikilize perception ya watu kuhusu bodi, bahati mbaya na wewe pia comments zako zinaonesha usivyojua kitu. Suala la bei kwa mfano mpaka uwaulize bodi, kwa hivyo bei ya petroli mpaka uwaulize ewura, shame on you.Ukiwauliza kwa nini bei ya Pamba inashuka wanapepesa midomo,soko kubwa na wanunuzi Wakubwa wa pamba akina Nani duniani hawajui ukiwawailiza walivutia viwanda vingapi vya nguo za kisasa vije nchini,acha vile vya kaniki na khanga,hakuna,wanawqza kuuza Pamba nje miaka nenda rudi wanapanda ndege kwenda ulaya,eti kusaka soko,
Wakulima wanakimbia kulima zao la pamba kwa sasa,wanahamia katika kilimo cha alizeti,ufuta.Bei ya pamba ni hovyo kabisaSisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu wa pamba ni mashahidi kwa hili kwani tunajivunia pamba na jasho letu wengi wetu tumeweza kuwekeza katika miraid mikubwa mikubwa ya maendeleo na kilio cha kisasa kabisa (Teknolojia za kisasa) Kama ingekuwa uwezo wangu ningepandisha hadhi bodi hii na iwe wizara kamili (WIZARA ya MAENDELEO ya PAMBA)
** WEBSITE: www.cotton.or.tz
NB: Wafanyakazi wa bodi hii wanastahili pongezi hasa tukiazimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi)
Hizo sifa sizo kaka. Suala la bei ikiwa ndogo ama kubwa si lawama wala si sifa kwa tcb. Tcb ama serikali haina la kufanya katika bei ya pamba duniani, Hiyo teknologia unayoitaja ni ipi? Ni kweli kuna mambo wanayostahiki pongezi lakini siyo hizi za kwako.Sisi wakulima wa Pamba kanda ya Ziwa tunajivunia bodi ya Pamba Tanzania kwa kufanya kazi zake kwa WELEDI mkubwa katika kututafutia masoko ndani na nje ya nchi kwa uharaka sana. Wakulima wenzangu wa pamba ni mashahidi kwa hili kwani tunajivunia pamba na jasho letu wengi wetu tumeweza kuwekeza katika miraid mikubwa mikubwa ya maendeleo na kilio cha kisasa kabisa (Teknolojia za kisasa) Kama ingekuwa uwezo wangu ningepandisha hadhi bodi hii na iwe wizara kamili (WIZARA ya MAENDELEO ya PAMBA)
** WEBSITE: www.cotton.or.tz
NB: Wafanyakazi wa bodi hii wanastahili pongezi hasa tukiazimisha siku ya wafanyakazi duniani (Mei Mosi)