kaka embu ngoja nikuulize hv birth certificate Yako ulitengeneza mwaka gani? Maana jamaa wa bodi ya mkopo washajua zile certificte zilizotolewa miaka ya 2000 kupanda juu zina udanganyifu ndani Yake !! Ila yangu nilipozaliwa miaka ya 1992 mwez wa 9 changu kikatoka mwez wa 10 mwak huohuo mpango mzima hakuna udanganyifu ndani yake alafu kama kawaida kazi za wazazi wakulima teh teh bahati ilioje sasa we kama birthcertfct yako imetoka miaka ya 2000 na kitu afu wewe ulizaliwa miaka ya tisini or themanini na kitu jua ishakula kwako !!
<<< Ze duduz >>>