Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
Majina ya waliokosea kujaza form za mkopo yametoka? Au maana hatuewelei tumepaniki huku jamani hatujui hatima yetu.
hakuna marekebisho mwaka huuHayawi Hayawi majina ya waliokosea kujaza form za mkopo yametoka? Au maana hatuewelei tumepaniki huku jaman hatuji hatima yetu
me nikajua yametoka badilisha izii wako aiseee andikaa vizurHayawi Hayawi majina ya waliokosea kujaza form za mkopo yametoka? Au maana hatuewelei tumepaniki huku jaman hatuji hatima yetu
Kwa nini mkuu?kwa mtindo huu hata ukikosa mkopo usimlaumu mtu
Kupanic mkuu sio kusudiKama hujakosea umefanya kadiri ya uwezo wako inakuaje uwe uNamiheMukO mfululizo!???
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee mpuuziii me nikajua yametoka badilisha izii wako aiseee andikaa vizur
Siku zimeisha mkuu ujue tofauti na miaka yote ya nyumaMuda utaongea
Walisema trh 10..so tuanze kutazamia kuanzia kesho..Siku zimeisha mkuu ujue tofauti na miaka yote ya nyuma
Hayawi Hayawi majina ya waliokosea kujaza form za mkopo yametoka? Au maana hatuewelei tumepaniki huku jaman hatuji hatima yetu
Aisee mkopo ndo maisha yako.haa haa mnawapa watu pressure bure...