B Bulah JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 246 Reaction score 57 Aug 20, 2011 #1 Eti waungwana... Bodi ya mikopo wanatoa mikopo kwa wale ambao ni fresh frm xul tu??? Nihabarisheni mlio karibu na newz
Eti waungwana... Bodi ya mikopo wanatoa mikopo kwa wale ambao ni fresh frm xul tu??? Nihabarisheni mlio karibu na newz
M maoniyangu Member Joined Jul 9, 2011 Posts 53 Reaction score 4 Aug 20, 2011 #2 huwa wanatoa kwa wote provided umeomba na umefikia vigezo
B Bulah JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 246 Reaction score 57 Aug 20, 2011 Thread starter #3 maoniyangu said: huwa wanatoa kwa wote provided umeomba na umefikia vigezo Click to expand...

"nimeangalia habari ya chanel ten leo wanasema mwaka huu watawapa mikopo wanaotoka shule moja kwa moja tu
maoniyangu said: huwa wanatoa kwa wote provided umeomba na umefikia vigezo Click to expand...

"nimeangalia habari ya chanel ten leo wanasema mwaka huu watawapa mikopo wanaotoka shule moja kwa moja tu
kilimasera JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 3,068 Reaction score 277 Aug 20, 2011 #4 kikubwa vigezo si form six tu ingia kwenye link tao
Vanpopeye JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 624 Reaction score 62 Aug 20, 2011 #5 Eti jama hata kama unaxoma chuo cha private unapata mkopo?
menyidyo JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 1,339 Reaction score 194 Aug 20, 2011 #6 kumbe una majibu afu unauliza. mwaka jana ilikuwa sio razima fresh frm school. kama ndo utaratibu mpya umetangazwa ndo utuambie. na nani katangaza?
kumbe una majibu afu unauliza. mwaka jana ilikuwa sio razima fresh frm school. kama ndo utaratibu mpya umetangazwa ndo utuambie. na nani katangaza?
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Aug 20, 2011 #7 Kuanzia mwaka huu,utaratbu ni kwa form six 2,equevalent qualifications wamekua excluded...cjui hi nchi 2naelekea wap kwa kweli.
Kuanzia mwaka huu,utaratbu ni kwa form six 2,equevalent qualifications wamekua excluded...cjui hi nchi 2naelekea wap kwa kweli.
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Aug 20, 2011 #8 Vanpopeye said: Eti jama hata kama unaxoma chuo cha private unapata mkopo? Click to expand...

provided kwamba una vigezo vya kupata mkopo,hata ukiwa wap,utaupata 2 mkuu.
Vanpopeye said: Eti jama hata kama unaxoma chuo cha private unapata mkopo? Click to expand...

provided kwamba una vigezo vya kupata mkopo,hata ukiwa wap,utaupata 2 mkuu.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Aug 20, 2011 #9 summa said: "nimeangalia habari ya chanel ten leo wanasema mwaka huu watawapa mikopo wanaotoka shule moja kwa moja tu Click to expand... mkuu hapa na shaka mbona waliandika kwenye link yao kuwa ni mtu yeyote anaeingia chuo au aliyeko chuo sasa mkuu mbona hazina uhakika wowote habari zako...
summa said: "nimeangalia habari ya chanel ten leo wanasema mwaka huu watawapa mikopo wanaotoka shule moja kwa moja tu Click to expand... mkuu hapa na shaka mbona waliandika kwenye link yao kuwa ni mtu yeyote anaeingia chuo au aliyeko chuo sasa mkuu mbona hazina uhakika wowote habari zako...