Bodi ya mikopo wametumia Bil.169 out of Bil.570. Kwani hizi zingine znaenda wapi?

Methyl phenol

Senior Member
Jul 22, 2021
184
272
Bodi ya mikopo mpaka round ya nne na ya mwisho wametumia Bil.169 out of Bil.570 Kwan hiz zingne znaenda wapi?

hata kama kusema ni kwa continuing students ndo zote izo?? af first ia ndo ivo tunaambulia hela ya kula??

Mmmh hii imekaaje au me ndo selewi..
 
continuous waliobaki ni wengi kuliko 1st year walioomba mkopo.
 
Rais alisema wote wapewe mikopo kwa fedha hizo ni mikopo itakayorudishwa, lakini bodi wameanza kuchambua eti huyu ni muhitaji na huyu siyo! maana yake kuna watakaonyimwa.
Pia naona kigezo cha mtoto kusoma shule za private kinachukuliwa kuwa mzazi ana uwezo bila kujua kuwa wazazi huuza mashamba, ardhi nk ili kuwapa MSINGI, na baada ya hapo wanakuwa hawana kitu cha kuuza. Mtoto amepata msingi mzuri lakini fedha ya kumwendeleza bodi inamnyima mkopo.
Basi itangazwe rasmi kuwa kigezo cha mwanafunzi kutopata mkopo ni kusoma shule za binafsi ili wasiwe wanajisumbua kuomba (30,000 za kuomba, bado NIDA, bado sahihi za kucertify nk.) zote zinaenda bure
 
Sasa wewe unafikiri watumie mbinu gani kibaini mwenye uwezo na asie na uwezo??... Kama mtu anamudu kulipa ada miaka 7 ashindwe kulipa miaka mitatu!!
 
Bodi ya mikopo mpaka round ya nne na ya mwisho wametumia Bil.169 out of Bil.570 Kwan hiz zingne znaenda wapi?

hata kama kusema ni kwa continuing students ndo zote izo?? af first ia ndo ivo tunaambulia hela ya kula??

Mmmh hii imekaaje au me ndo selewi..
Ata continous wenyewe tumelimwa mwaka huu tumenyang'anywa field plus books and stationery also ada kwa wengine wamepunguziwa sijui kuna nn kinaendelea...
 
Wengine hatujaona allocation zetu mpaka sasa na miaka ya nyuma tulikuwa tunapata mkopo
 
Wapo continuos ambao wameomba mkopo, mfano mm, niko mwaka wapili. nawalisema watatangaza butch ya 5 tarehe 4 ambapo wale continuous wanaeza kupata mkopo lakn mpk sasa hawajatangaza butch ya 5, natayar washafungua dirisha la rufaaa hi inakuwaje ?
 
Back
Top Bottom