Bodi ya Mikopo oneni mnavyoathiri maisha ya wahitimu

Riba ya 15% ni kubwa sana tena sana aisee! Haina tofauti na mikopo ya bank ambayo hutolewa for profit maximization au siyo? Nazani sijapaelewa vizuri kwenyewe hapo
 
Riba ya 15% ni kubwa sana tena sana aisee! Haina tofauti na mikopo ya bank ambayo hutolewa for profit maximization au siyo? Nazani sijapaelewa vizuri kwenyewe hapo
Hapo chuo cha st.John wametoa taarifa ya wahitimu wa mwaka 2015/2016 kwenda kuchukua vyeti vyao ila kuna baadhi ya wanaolipiwa na bodi ya mikopo wametakiwa kutofika chuoni kufuata vyeti vyao kwasababu mpaka sasa bodi haijalipa ada zao na ni wengi sana.
 
Back
Top Bottom