Bodi ya mikopo ni shida tu

Ndoto ya mchana
 
Mm yupo nlyemshuhudia kaomba sua tu ila Majina yaltoka first batch cha ajab no jina sua
 
Hoja na huu msuguano ni UDSM tu wadau kama Kuna wakutetea Aseme
 
Shwaini mama yako aliyekuzaa umechelewa usiyejua hata historia inaendaje,hujui hata of atu wa zamani walikuwa wanapataje mkopo ukitofautisha na leo,alafu unaonekana umezaliwa juzi tu we bwege
Eti bodi ishindwe kutoa mikopo hyo in ndoto za alnacha shuwainiii
 
Shwaini mama yako aliyekuzaa umechelewa usiyejua hata historia inaendaje,hujui hata of atu wa zamani walikuwa wanapataje mkopo ukitofautisha na leo,alafu unaonekana umezaliwa juzi tu we bwege
Duh hadi unamtusi mama kweli una hasira kwa ukweli huo haya ahsante
 
Umeanza kunitusi wala sijakikosea kitu,sikukuomba unijibu shit,unaniita shwaini unanijua? Nikaona unaonekana unayajua matusi sio mstaarabu ungekuwa mstaarabu ungeniomba nikufafanulie kwa nn bodi ya mikopo badae itakuja kushindwa kulipa kabisa hata hyo mikopo,nashangaa unaanza kunitusi
Duh hadi unamtusi mama kweli una hasira kwa ukweli huo haya ahsante
 
Mungu akubariki kwa kumtukana mama yangu wakati battle ni Mimi na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…