Habari Jf,kuna kitu nime sikia kwa baazi ya watu wangu wa karibu wakilia kuhusu izo allocation za mikopo,katika batch ya kwanza walio otoa wali toa na idadi ya watu watakao pata io mikopo lakini uki fika chuo jina huli kuti na uki uliza kwanini una ambiwa huna vigezo vya kupata,sasa hii ni danganya toto wanao ifanya bodi ya mikopo kwa kutoa idadi isio sahihi kwa wanufaika wa mikopo huku umma uki amini idadi iliyo tolewa ni ya kweli
Tatizo la festi yia ndo hili sasa
Mwanzoni mlitangaziwa idadi ya watu wote waliopata mkopo...wakatoa batch 1 ya waliopata...wakaja tena wakatoa batch 2...mkaambiwa subirini batch nyingine zinakuja...batch huwa zinafika ata zaidi ya nne...idadi ya watu waliopata mkopo ambayo ilitolewa awali itatimia tu lkn hawatoi yote kwa mkupuo wanatoa kwa batch au makundi makundi...
Kama jina lako lishatoka utalikuta chuoni kama bado subiri batch zinazokuja co kusikiliza stori za mtaani tu sana sana mnaishia kudanganyana kama hv
Acheni akili za kisekondari mshakuwa wanachuo saiv
MAJINA HEWA
wapuuzi kabisa

We unajikuta siyo first lakini hakuna la maanq unaloandikaTatizo la festi yia ndo hili sasa
Mwanzoni mlitangaziwa idadi ya watu wote waliopata mkopo...wakatoa batch 1 ya waliopata...wakaja tena wakatoa batch 2...mkaambiwa subirini batch nyingine zinakuja...batch huwa zinafika ata zaidi ya nne...idadi ya watu waliopata mkopo ambayo ilitolewa awali itatimia tu lkn hawatoi yote kwa mkupuo wanatoa kwa batch au makundi makundi...
Kama jina lako lishatoka utalikuta chuoni kama bado subiri batch zinazokuja co kusikiliza stori za mtaani tu sana sana mnaishia kudanganyana kama hv
Acheni akili za kisekondari mshakuwa wanachuo saiv
We unajikuta siyo first lakini hakuna la maanq unaloandika
Kulipiwa ada elfu 70 sio kitu cha ajabu ndo maana kuna asilimia za mkopoMkuu unacho ongea una weza kuwa sawa lakini kwanini watoe jina katika batch ya kwanza ila uki enda chuo una ambiwa jina halipo,na jata ivyo sioni maana ya kumlipia mtu ada elfu70 afu usi mpe hela ya meal&accomodation
@Genius7Dogo acha ushamba mi co level zako...andika wewe la maana...in shot kama huna vigezo rudi tu nyumbani ukalale
Dogo mkopo haudaiwi kwa mapangaHabari Jf,kuna kitu nime sikia kwa baazi ya watu wangu wa karibu wakilia kuhusu izo allocation za mikopo,katika batch ya kwanza walio otoa wali toa na idadi ya watu watakao pata io mikopo lakini uki fika chuo jina huli kuti na uki uliza kwanini una ambiwa huna vigezo vya kupata,sasa hii ni danganya toto wanao ifanya bodi ya mikopo kwa kutoa idadi isio sahihi kwa wanufaika wa mikopo huku umma uki amini idadi iliyo tolewa ni ya kweli
kiongozi naona hujui ata kinachoendelea.
ni ivi:
jina limetoka batch ya kwanza lakini saivi unaambiwa baada ya kuhakiki tena wamegundua huna vigezo vya kupata mkopo.
so hakuna cha batch sijui ngapi wala ngapi hapo mkuu.
swali ni kwanini watoe majina bila kujiridhisha kama mtu ana vigezo????
Ulichaguliwa multiple selection?kiongozi naona hujui ata kinachoendelea.
ni ivi:
jina limetoka batch ya kwanza lakini saivi unaambiwa baada ya kuhakiki tena wamegundua huna vigezo vya kupata mkopo.
so hakuna cha batch sijui ngapi wala ngapi hapo mkuu.
swali ni kwanini watoe majina bila kujiridhisha kama mtu ana vigezo????
Ulichaguliwa multiple selection?

Si mwamdamane