VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,140 Reaction score 18,007 Oct 13, 2012 #1 Tangu juma lililopita,mtandao wenu haukubali kufanya kazi ipasayo. Kazi ya kusajili wakata rufaa waliokosa mikopo kwa mara ya kwanza. Sasa hawa wanafunzi 'wataapilije'? Acheni upuuzi wenu...muwe serious na mambo yenu...
Tangu juma lililopita,mtandao wenu haukubali kufanya kazi ipasayo. Kazi ya kusajili wakata rufaa waliokosa mikopo kwa mara ya kwanza. Sasa hawa wanafunzi 'wataapilije'? Acheni upuuzi wenu...muwe serious na mambo yenu...