Bodi ya mikopo jipangeni mapengeni

Bodi ya mikopo jipangeni mapengeni

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,211
Reaction score
19,143
Vyuo vya elimu ya juu ya juu kwa wanafunzi wanaoendelea vimeshaanza kufungua na wanafunzi wa mwaka wa kwanza wanategemewa kuwasili vyuoni ndani ya wiki mbili za mwezi wa kumi.

Imekuwa ni kawaida kwa bodi ya mikopo kuchelewesha kutoa pesa za mkopo kwa wanafunzi waliokidhi vigezo kwa zaidi ya mwezi mmoja hadi miwili huku wakijua kabisa usumbufu ambao huwa unatokana na ucheleweshaji huo!

Namwomba waziri mwenye dhamana hiyo aanze mapema kuwabana wahusika ili kuepuka dana dana kati ya bodi, hazina na vyuo husika.

Wahusika waelezwe bayana kuwa atakayesababisha ucheleweshaji bila sababu za msingi akubali kuwajibika!

Hivi unapomcheleweshea MTOTO pesa za malazi na chakula kwa zaidi ya wiki moja hadi miezi, halafu unawaambia iweni na subira tuko kwenye mchakato, ni nani anayeweza kuwa na subira bila kula chakula kwa zaidi ya wiki moja hadi mwezi na zaidi?

Kwa mfano wanafunzi wanaoendelea Mwecau wameanza registration jumatatu hii 19/ 09/2016 hadi ijumaa. Kalenda yao bodi wanaifahamu, wanafunzi hawa hawa tayari wameanza kutumia gharama kwa maana ya malazi, chakula nk na wengi tu wanategemea boom. Sasa bodi lazima wajue kuwa wanashughulika na watu na wengine wao mkopo ndio kila kitu zaidi ya hapo ni majanga.

Tunatahadharisha mapema ili bodi wasije tena na lugha ya subirini wakati wao hawajawahi kusubiri mishahara yao kwa zaidi ya wiki hadi miezi!
 
[emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
 
likizo kwanin haukuenda fundisha tempo ?
 
Acha nimjibie (Samahani lakini)

1. Shule nyingi zilikua na walimu wa kutosha maana wanavyuo walikua wanafundisha kwa maana ya kwamba walikua wanafanya FIELD.

2. Elimu kwa sasa ni bure, huyo mkuu wa shule atapata wapi hela ya kumlipa mtu anayefundisha tempo ?

3. Huenda huyu mtoa mada nayeye alikua katavi huko anafanya field kwenye hifadhi za wanyama huo muda wa kufanya tempo angepata wapi?

4. Tangu lini mwanafunzi akiwa na hela (kama ulivyotaka huyo mtoa mada akafanye tempo apate hela) inatoa UHALALI wa kucheleweshewa MKOPO wake toka bodi ya mikopo ?
 
shule hazina walimu wa sayansiii uko kata wazazi wanachangia walimu wa tempo uko,
 
Sio kila mtu anaweza kufundisha, mbona hamuendi kupiga tempo za udaktari, ualimu nayo ni professional kama nyingine sio ya kuchezeachezea tu ukijiskia
 
asa wewe kuna kitu inaitwa experience , mwalimu lazma ufundishe na upate uzoefu wa kutoshaa kabisaa, mm sijadharau umeni quote vibaya
 
shule hazina walimu wa sayansiii uko kata wazazi wanachangia walimu wa tempo uko,

Tuchukulie hivi (let's assume);-
1. Huyo mtoa mada alisoma masomo ya sayansi.
2. Huko mashuleni hakuna walimu wa kutosha wa sayansi.
3. Mtoa mada anapenda kufundisha.
4. Alipata muda wa kufundisha (hakua na field nyingine)
5. Alipata nafasi ya kufundisha katika moja ya shule za kata
6. Alilipwa hela yake.

SWALI:-
Mambo hayo yote sita niliyoyataja na mengine mengineyo yanahalalisha vipi KUCHELEWESHEWA mkopo wake toka bodi ya mikopo ?
 
likizo kwanin haukuenda fundisha tempo ?
Makelele mengi humu jamvini kuhusu ajira ni ya waalimu wanaosubiri ajira baada ya kuhitimu. Kama tempo ni suluhisho tusingesikia hayo makelele!
Hata hivyo idadi ya wanachuo wote wanaoendelea ni zaidi ya 200,000. Inabidi mtu awe na maji kichwani badala ya ubongo kudhani kuwa wote hao watafundisha tempo hivyo si tatizo boom likichelewa!
 
hela ya field bado mkumbuke
Yap ni kweli madam yaani ikiwa tu hata hela ya field hawajamalizia hawa jamaaa hiyo ya boom ndio kabisaaaaaaa haida dalili labda labda kwa huruma mwishoni mwa semester.....Daaah wanafunzi mwaka huu kazi ipo
 
Tutaisoma namba, subir uone watu tutakavyoahirisha mwaka.
 
Back
Top Bottom