JOSEPHAT J BAZA
Member
- May 4, 2013
- 27
- 22
Hujaelewa! Deni linalipwa! Anacholalamika ni namna ya kulipa. Pesa zenyewe za mkopo hutolewa kwa mbwembwe na maringo na serikali. Leo hii wanatumia ubabe kuzirudisha. Kama unasifia ujinga huu, inawezekana bado uko shule ya msingi au ulilipiwa na aliyejinyima kukusomesha. Usiwaongelee watu.Lipeni deni. Watanzania bana, kazi kulialia na kupinga kila kitu. Wakati mnakopa hizo Fedha kwa kuzifuja na mbwembwe nyingi mliona sawa. Tena mkaandamana kuwa kiwango hakitoshi kiongezwe. Leo unatakiwa ukilipe unataka kuandamana tena? Lipa deni, kama huwezi acha kazi
Ndugu, hakuna aliye pinga kulipa deni, kinachopingwa hapa ni ongezeko la 15% badala ya 8% iliyokuwa kwenye mkataba wa mkopo kwa mwanafunzi wa elimu ya juu. isitoshe hakuna mtumishi aliyeongezewa mshahara na gharama za maisha zimepanda mara dufu kipato cha miaka 2 iliyopita ni kile kile. Watumishi wameongeza familia kwa kuzaa watoto lakini kipato ni kile kile.Lipeni deni. Watanzania bana, kazi kulialia na kupinga kila kitu. Wakati mnakopa hizo Fedha kwa kuzifuja na mbwembwe nyingi mliona sawa. Tena mkaandamana kuwa kiwango hakitoshi kiongezwe. Leo unatakiwa ukilipe unataka kuandamana tena? Lipa deni, kama huwezi acha kazi
Hawa jamaa Wa ajabu sana. Wakipewa mkopo kazi ni kunywea pombe na kuchukulia madem wasio na mikopo. Sasa wanadaiwa kazi ni kulialia.Hebu lipeni pesa za watu huko au mlidhani mlilipwa mahari!!shame on u
Kichwa majiLipeni deni. Watanzania bana, kazi kulialia na kupinga kila kitu. Wakati mnakopa hizo Fedha kwa kuzifuja na mbwembwe nyingi mliona sawa. Tena mkaandamana kuwa kiwango hakitoshi kiongezwe. Leo unatakiwa ukilipe unataka kuandamana tena? Lipa deni, kama huwezi acha kazi
Kuna mijitu inanikera mie,hakuna mtu aliyekataa kulipa deni,mbona hapo awali walipokuwa wanakata hyo 8% hakuna aliyelalamika? Tatizo linakuja hyo 15%haipo kwenye mkataba na kama kukata hyo makato yao mapya wangeanza na hawa wa mwaka huu,wakasain mkataba mpya wa hyo 15%.Ifike pahali watanzania tusiwe tunasapot ujinga jamani eti kisa wewe hayajakukuta,naamin huku tuelekeapo kila mmoja ataguswa kwa namna yake,hakuna kupandishwa madaraja,hakuna increment, hakuna uhamisho,MAKATO FULL,Inauma sana jamani
Mkuu lipeni madeni acheni kulialia. Hauwezi acha kazi tu, haujashinikizwa mazeeKuna mijitu inanikera mie,hakuna mtu aliyekataa kulipa deni,mbona hapo awali walipokuwa wanakata hyo 8% hakuna aliyelalamika? Tatizo linakuja hyo 15%haipo kwenye mkataba na kama kukata hyo makato yao mapya wangeanza na hawa wa mwaka huu,wakasain mkataba mpya wa hyo 15%.Ifike pahali watanzania tusiwe tunasapot ujinga jamani eti kisa wewe hayajakukuta,naamin huku tuelekeapo kila mmoja ataguswa kwa namna yake,hakuna kupandishwa madaraja,hakuna increment, hakuna uhamisho,MAKATO FULL,Inauma sana jamani
Asilimia 90 ya ubongo ni Maji mkuu. Lips deni letu lakini boss, hakuna namnaKichwa maji