Hapa nakazia. Watoe sababu za kumnyima mkopo.5. Mnapokataa maombi ya mkopo wa mwanafunzi...mpeni sababu ya kukataliwa badala ya kukaa kimya kama hamjapokea maombi. Kama sababu zenu ni za msingi zitajeni ili uwe msingi wa kukata rufaa.
6. Sasa mwanafunzi anakataje rufaa wakati hamjampa sababu ya kukataliwa ombi lake la mkopo?
Amesoma wapi? Most of time kama umesoma shule ambayo ada ya mwaka mmoja ni ghali kuliko ada ya miaka yote unayosoma chuo unaweza kunyimwa mkopo.Safari hii naona mmeamua kufuata kanuni mnaozijua ninyi maana kila tulichoaminishwa hamfanyi.
1. Mwanafunzi wa div 1 ya A zote anakosa scholarship ya SAMIA na mkopo hakupata. Sasa hizo kauli zenu vipi?
2. Mwanachuo anasomea " degree za kipaumbele" anakosa mkopo kwa 0%. Hata mia. Udaktari, ualimu nk. Sasa mnawapa akina nani?
3. Muelewe wapo wanafunzi wanaosomeshwa na wafadhili kwa kiwango cha sekondari. Ninyi mkiona tu jina la shule ya private.. hakuna mkopo.
4. Wengine wamesoma sekondari za kata mwanzo mwisho. Nao hakuna mkopo. Sasa mnatumia vigezo gani?
5. Mnapokataa maombi ya mkopo wa mwanafunzi...mpeni sababu ya kukataliwa badala ya kukaa kimya kama hamjapokea maombi. Kama sababu zenu ni za msingi zitajeni ili uwe msingi wa kukata rufaa.
6. Sasa mwanafunzi anakataje rufaa wakati hamjampa sababu ya kukataliwa ombi lake la mkopo?
7. Tunahitaji uwazi kwenye bodi..majina yawekwe wazi kwenye ukurasa wa bodi tujue nani kapewa. Hili ni muhimu kwani mwanafunzi anaweza pewa mkopo na chuo kikakaa kimya au akamwambia mzazi hajapewa mkopo. Ndo maana vyuoni wanafunzi wana matumizi makubwa mpaka unashangaa.
Siri ya nini?
8. Mwanafunzi anapopewa mkopo, wadhamini wake wajulishwe na kiasi cha mkopo kila mwaka badala ya kuwahusisha wadhamini wakati wa kudai deni la mkopo....huu ni udhaifu wa kimfumo.
Ni kigezo cha kijinga sana.Amesoma wapi? Most of time kama umesoma shule ambayo ada ya mwaka mmoja ni ghali kuliko ada ya miaka yote unayosoma chuo unaweza kunyimwa mkopo.
Unaweza ukasoma Guidelines hapa
Sio Cha kijinga mkuu, ukiangalia hivyo vigezo kama ulifadhiliwa unatakiwa uambatanishe Ushahidi ili uingie kwenye Needy group.Ni kigezo cha kijinga sana.
Wengine walifadhiliwa na ufadhili una kikomo
Umeandika kwa chuki mpaka nikashangaa...Sio Cha kijinga mkuu, ukiangalia hivyo vigezo kama ulifadhiliwa unatakiwa uambatanishe Ushahidi ili uingie kwenye Needy group.
Imagine mwanafunzi kasoma kijijini, kaenda shule ya kata mpaka form 6 kajitahidi katoboa, nyumbani Hali mbaya halafu asipate mkopo.
Then Kuna mwengine anaenda shule anapelekwa na gari, kasoma shule ada milioni 5 ama zaidi halafu apewe mkopo.
Mkopo upo kwa ajili ya kuwasaidia wenye mahitaji na sio kuwazidishia wenye kipato.
Elimu ya kibongo ni biashara kama ilivyo biashara nyingine baina ya serikali na bodi ya mikopoSafari hii naona mmeamua kufuata kanuni mnaozijua ninyi maana kila tulichoaminishwa hamfanyi.
1. Mwanafunzi wa div 1 ya A zote anakosa scholarship ya SAMIA na mkopo hakupata. Sasa hizo kauli zenu vipi?
2. Mwanachuo anasomea " degree za kipaumbele" anakosa mkopo kwa 0%. Hata mia. Udaktari, ualimu nk. Sasa mnawapa akina nani?
3. Muelewe wapo wanafunzi wanaosomeshwa na wafadhili kwa kiwango cha sekondari. Ninyi mkiona tu jina la shule ya private.. hakuna mkopo.
4. Wengine wamesoma sekondari za kata mwanzo mwisho. Nao hakuna mkopo. Sasa mnatumia vigezo gani?
5. Mnapokataa maombi ya mkopo wa mwanafunzi...mpeni sababu ya kukataliwa badala ya kukaa kimya kama hamjapokea maombi. Kama sababu zenu ni za msingi zitajeni ili uwe msingi wa kukata rufaa.
6. Sasa mwanafunzi anakataje rufaa wakati hamjampa sababu ya kukataliwa ombi lake la mkopo?
7. Tunahitaji uwazi kwenye bodi..majina yawekwe wazi kwenye ukurasa wa bodi tujue nani kapewa. Hili ni muhimu kwani mwanafunzi anaweza pewa mkopo na chuo kikakaa kimya au akamwambia mzazi hajapewa mkopo. Ndo maana vyuoni wanafunzi wana matumizi makubwa mpaka unashangaa.
Siri ya nini?
8. Mwanafunzi anapopewa mkopo, wadhamini wake wajulishwe na kiasi cha mkopo kila mwaka badala ya kuwahusisha wadhamini wakati wa kudai deni la mkopo....huu ni udhaifu wa kimfumo.
Na kwenye kujisajili kwenye mfumo wa HESLB si uwa kuna malipo ya shilingi ngapi sijui. Hicho kiasi zidisha kwa idadi ya waombaji. Bado malipo ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa huko RITA kwa kila mhitaji wa mkopo. Kwa nini uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa kwenye mfumo wa HESLB usiwe automatic tu kwenye kama mhitaji wa mkopo kaweka cheti genuine? Naona serikali utumia maombi ya mkopo kama chanzo kingine cha mapato.Elimu ya kibongo ni biashara kama ilivyo biashara nyingine baina ya serikali na bodi ya mikopo
Ndio nikakuamnia ni Biashara. Imagine umesoma chuo cha serikali na umemaliza na chet wakakupa, wakati unaomba kazi unaambiwa unabidi uka certified vyeti vyako mkuu, seriously?Na kwenye kujisajili kwenye mfumo wa HESLB si uwa kuna malipo ya shilingi ngapi sijui. Hicho kiasi zidisha kwa idadi ya waombaji. Bado malipo ya uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa huko RITA kwa kila mhitaji wa mkopo. Kwa nini uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa kwenye mfumo wa HESLB usiwe automatic tu kwenye kama mhitaji wa mkopo kaweka cheti genuine? Naona serikali utumia maombi ya mkopo kama chanzo kingine cha mapato.
Swala LA mkopo,lingekuwa inatolewa kwa kila mwenye kuhitaji, wale wanaosema kuwa kama mtoto kasoma English medium, na private, asipewe mkopo, je kwa mfano wakati anasoma primary na secondary, wazazi/walezi walikuwa na uwezo,amefika chuo,wazazi wamefirisika, hawana uwezo wa kulipa, ukimnyima mkopo, kwa kigezo cha uwezo waliookuwa nao wazazi, wake, utakuwa humtendei haki.Safari hii naona mmeamua kufuata kanuni mnaozijua ninyi maana kila tulichoaminishwa hamfanyi.
1. Mwanafunzi wa div 1 ya A zote anakosa scholarship ya SAMIA na mkopo hakupata. Sasa hizo kauli zenu vipi?
2. Mwanachuo anasomea " degree za kipaumbele" anakosa mkopo kwa 0%. Hata mia. Udaktari, ualimu nk. Sasa mnawapa akina nani?
3. Muelewe wapo wanafunzi wanaosomeshwa na wafadhili kwa kiwango cha sekondari. Ninyi mkiona tu jina la shule ya private.. hakuna mkopo.
4. Wengine wamesoma sekondari za kata mwanzo mwisho. Nao hakuna mkopo. Sasa mnatumia vigezo gani?
5. Mnapokataa maombi ya mkopo wa mwanafunzi...mpeni sababu ya kukataliwa badala ya kukaa kimya kama hamjapokea maombi. Kama sababu zenu ni za msingi zitajeni ili uwe msingi wa kukata rufaa.
6. Sasa mwanafunzi anakataje rufaa wakati hamjampa sababu ya kukataliwa ombi lake la mkopo?
7. Tunahitaji uwazi kwenye bodi..majina yawekwe wazi kwenye ukurasa wa bodi tujue nani kapewa. Hili ni muhimu kwani mwanafunzi anaweza pewa mkopo na chuo kikakaa kimya au akamwambia mzazi hajapewa mkopo. Ndo maana vyuoni wanafunzi wana matumizi makubwa mpaka unashangaa.
Siri ya nini?
8. Mwanafunzi anapopewa mkopo, wadhamini wake wajulishwe na kiasi cha mkopo kila mwaka badala ya kuwahusisha wadhamini wakati wa kudai deni la mkopo....huu ni udhaifu wa kimfumo.
Kuna kufiwa na wazazi jamani halafu tuwe wakweli ukilipa million 3 shule kumbuka mtoto anakula huko huko shule chuo unalipa ada,Kuna kula,kuna assignment,vocha,kuvaa,pedi nk.Swala LA mkopo,lingekuwa inatolewa kwa kila mwenye kuhitaji, wale wanaosema kuwa kama mtoto kasoma English medium, na private, asipewe mkopo, je kwa mfano wakati anasoma primary na secondary, wazazi/walezi walikuwa na uwezo,amefika chuo,wazazi wamefirisika, hawana uwezo wa kulipa, ukimnyima mkopo, kwa kigezo cha uwezo waliookuwa nao wazazi, wake, utakuwa humtendei haki.
Vigezo vya umaskini, na kuuliza eti nyumba yenu ni ya paa LA bati au nyasi,havina uhalisia, uwezi, kuthibitisha,
Na kama Mimi mzazi, nimemsomesha mtoto wangu tangu kindergarten mpaka kidato cha Sita kwa kulipa milioni tatu! Kila mwaka, ukimpa mtoto wangu mkopo sawa na mtoto mwingine aliyesoma st kayumba tangu LA kwanza, inakuwa sio sawa.
Vigezo vya kutumia, iwe kiwango cha ufaulu, kwa masomo ya kimkakati, sayansi, afya, tekinolojia, na uamuzi Uwe computerised, algorithm, sio mijitu inakaa, inajiamulia yenyewe.
Mkuu usipende kufatilia maisha ya watu na matumizi yao. Pole kwa kukosa mkopo7. Tunahitaji uwazi kwenye bodi..majina yawekwe wazi kwenye ukurasa wa bodi tujue nani kapewa. Hili ni muhimu kwani mwanafunzi anaweza pewa mkopo na chuo kikakaa kimya au akamwambia mzazi hajapewa mkopo. Ndo maana vyuoni wanafunzi wana matumizi makubwa mpaka unashangaa.
Siri ya nini?
Hehehehe mkuu umeandika kwa uchungu sana sema mm naishukuru serikali nimesoma Huku nafanya kazi na mkopo juu nikaongezea ongezea nikavuta zangu ISTSio Cha kijinga mkuu, ukiangalia hivyo vigezo kama ulifadhiliwa unatakiwa uambatanishe Ushahidi ili uingie kwenye Needy group.
Imagine mwanafunzi kasoma kijijini, kaenda shule ya kata mpaka form 6 kajitahidi katoboa, nyumbani Hali mbaya halafu asipate mkopo.
Then Kuna mwengine anaenda shule anapelekwa na gari, kasoma shule ada milioni 5 ama zaidi halafu apewe mkopo.
Mkopo upo kwa ajili ya kuwasaidia wenye mahitaji na sio kuwazidishia wenye kipato.
Wapo watu wa hivyo, tumesoma nao, mtu hata Cafeteria haijui ipoje, anakula mlo mmoja ama miwili Tena kwa mama ntililie ambaye yupo nje ya chuo,Hehehehe mkuu umeandika kwa uchungu sana sema mm naishukuru serikali nimesoma Huku nafanya kazi na mkopo juu nikaongezea ongezea nikavuta zangu IST
Tuache uongo wakuu, sometimes ndio mana tunapopinga tunaonekana wapuuzi,Ndio nikakuamnia ni Biashara. Imagine umesoma chuo cha serikali na umemaliza na chet wakakupa, wakati unaomba kazi unaambiwa unabidi uka certified vyeti vyako mkuu, seriously?
Hiyo tena ni source ya income ya serikali,
Kuna milolongo mingi ya kodi ambazo zinaishia kwenye mifumo ya watu na sii serikali