M Marandura Senior Member Jul 21, 2011 105 11 Aug 4, 2011 #1 Wana JF naomba mnijuze hii bodi ya mikopo wamewaongezea hawa wanavyuo Tsh ngapi?
G GHANI JF-Expert Member Feb 18, 2011 716 292 Aug 4, 2011 #2 Tsh 2500, kwa siku watakuwa wanapata posho ya 7500.