and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,423
- 40,129
Nimestushwa na kukutana na gari STL pembeni imeandikwa BODI YA MAZIWA daah! hivi kweli tumefikia hatua ya kuunda BODI MAALUM Kwa ajili ya MAZIWA (naamini wanamaanisha haya maziwa ya KUNYWA kupitia mdomoni) hapo hapo tuna TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC) nao wanapata bajet nenee!!
Mgao wa magari ya kutosha bila kusahau safari za nje ya nchi. Hapo hapo tuna TANZANIA FOOD & DRUGS AUTHORITY (TFDA) nao vile vile tiripu za nje kama kawa, VX za kutosha. Jamani tuoneeni huruma sisi walipa kodi maskini. TUMEROGWA??
Jaribu kutafuta umuhimu wa maziwa kwa afya ndo utajua kwanin kuna bodi ya mazima!ni uhuni tu huu aisee eti BODI YA MAZIWA
Jaribu kutafuta umuhimu wa maziwa kwa afya ndo utajua kwanin kuna bodi ya mazima!
Mie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasaniHata kama kiongozi.
Kazi hiyo ingeweza kufanywa na TFNC tu badala ya kuiundia bodi yake.
Alafu utambue vyenye umuhimu kiafya sio MAZIWA tu.
Mie kwangu naona iko sahihi. Kwanza tofautisha kati ya vitu vya muhimu na vitu vya muhimu zaidi. Mfano mtoto mdogo akizaliwa afu kwa bahati mbaya mama akafaliki huwa nalishwa nyama au dagaa? Hapo ndipo utajua kuwa maziwa ni kitu cha muhimu. Nakumbuka kuwa hasa watoto wanapotumia maziwa kwa wingi huwa na afya bora na uelewa mkubwa darasani
bodi ya maziwa ipo siku nyingi sana. kuna mdau mmoja aliponda akisema ng'ombe mmoja anaundiwa bodi kibao; bodi ya nyama, bodi ya ngozi, na hiyoNimestushwa na kukutana na gari STL pembeni imeandikwa BODI YA MAZIWA daah! hivi kweli tumefikia hatua ya kuunda BODI MAALUM Kwa ajili ya MAZIWA (naamini wanamaanisha haya maziwa ya KUNYWA kupitia mdomoni) hapo hapo tuna TANZANIA FOOD AND NUTRITION CENTRE (TFNC) nao wanapata bajet nenee!!
Mgao wa magari ya kutosha bila kusahau safari za nje ya nchi. Hapo hapo tuna TANZANIA FOOD & DRUGS AUTHORITY (TFDA) nao vile vile tiripu za nje kama kawa, VX za kutosha. Jamani tuoneeni huruma sisi walipa kodi maskini. TUMEROGWA??
Ipo siku wataunda bodi ya uji.... zukatae tukubali huo ni upumbavu... mamlaka kama TFDA na zinazodeal na wanyama zinatosha kabisa bila kuwa na bodi za ajabu ajabzHii bodi inahakikisha kila mtu anapata walau kikombe kimoja cha maziwa kwa siku..
Ivi unahisi mie mpumbavu. Unajua maana ya neno mpumbavu?. Pengine tu kwa ushauri. Ata hao walio unda hiyo BODI walikuwa na maono makubwa sana. Unge kuwa mwalimu ( sifahamu taaruma yako) ungeniunga mkono. Kufundisha mtoto mwenye utapiamlo na mtoto ambaye lishe haikuzingatiwa tangu akiwa mdogo ni shida sana. Pia maziwa yana kazi nyingi sana mbali na kuwa chanzo muhimu cha lishe kwa watoto ( protein)Acha kukumbatia upumbavu wewe.
Jiongeze kidogo
Ivi unahisi mie mpumbavu. Unajua maana ya neno mpumbavu?. Pengine tu kwa ushauri. Ata hao walio unda hiyo BODI walikuwa na maono makubwa sana. Unge kuwa mwalimu ( sifahamu taaruma yako) ungeniunga mkono. Kufundisha mtoto mwenye utapiamlo na mtoto ambaye lishe haikuzingatiwa tangu akiwa mdogo ni shida sana. Pia maziwa yana kazi nyingi sana mbali na kuwa chanzo muhimu cha lishe kwa watoto ( protein)
Asante! We mkweli aisee.Acha upotoshaji wewee , hivi unazijua athari hasi za kunywa maziwa? Eti na wewe ni mwalimu halafu unatetea ujinga,jinga kabisa wewe. Binadamu anasisitizwa kula nafaka kamili mbogamboga na matunda tuu vya kutosha wewe unaleta habari yako ya maziwa. Fanya utafiti kwanza ndo uwe unazungumza.