bodi ya elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bodi ya elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by RIVI SHIRIMA, Oct 7, 2012.

 1. R

  RIVI SHIRIMA Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongeri sana waziri wa elimu ya juu na watumishi wote wa bodi ya mikopo kwa kazi nzuri.
  Naskitika sanawa pale m2 anapo ji2ma mwingine ansinzia nakutegea
  Kabla ya bunge la 10 waziri husika alisema ataleta vigezo vya utoaji mikopa katiaka elimu ya juu, naskitika kwa kilichotokea kua hidi afu hutendi
  Kuna vijana wamepotelewa na wazaizi wote wawili tangu darasa la pili na sasa wako kwenye elimu ya juu na hawana mikopa na tcu iliwapangia kwenye vyuo vya binafsi na ada ni milion mbili na nusu na analelewa na bibi na shangazi je namuonea huruma kwa maisha anayo ishi kwani ni magumu ada yenyewe kulipa ni kazi hata kula yae ni matatizo.
  Ila mungu anavyo mtete anaingia mwaka wa pili na ku apil tayri alisha fanya ivo ila majibu hayajatoka,
  Je mtayatoa lini au ndo mna2potezea au ndo 2sema imani huja kwa kusikia na kuskia huja kwa jina la kristo 2endelekusubiria mungu ibariki elimu ya tanzania ili malango yake yafunguke na kupata mwanga ................
   
 2. Simolunda

  Simolunda JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Funguka ndugu wanazingua mpaka sahv kmya
   
Loading...