NOI NOI JF-Expert Member Aug 10, 2015 215 105 Feb 20, 2017 #1 Nauliza mwaka 2017/2018 elimu ya juu imefunguliwa tayari au bado
Page 94 JF-Expert Member Oct 22, 2015 5,204 15,198 Feb 20, 2017 #2 Bado sana Mkuu, subiria mwezi June huko au hata Julai. Huwa ni punde tu baada ya Kidato cha 6 kumaliza mitihani yao ya Kitaifa ifanyikayo mwezi Mei.
Bado sana Mkuu, subiria mwezi June huko au hata Julai. Huwa ni punde tu baada ya Kidato cha 6 kumaliza mitihani yao ya Kitaifa ifanyikayo mwezi Mei.
Optimistic_ JF-Expert Member Feb 12, 2017 2,344 1,842 Feb 20, 2017 #3 Hyo bado paka kidato cha sits wamalze