Hawa ni watu wa kupiga marufuku kabisa! Watu gani wanaendesha pikipiki kama vichaa? Hawaheshimu sheria yoyote. Wanagongwa wanakufa wanajeruhiwa kila siku hawasikii. Mbaya zaidi wanaua na kujeruhi watu kila siku kizembe tu.
Magari yanasimama kwenye zebra yeye anapitq tu bila kujali wapita njia! Ni muda sasa kuzuia hawa vichaa. Barabara zimegeuka uwanja wa vita mbele bodaboda, nyuma bodaboda, kulia bodaboda,kushoto bodaboda yaani ni kero tu
View: https://www.instagram.com/reel/DfuBUFlKjla/?mdxt=MWowZWtldzBscG5kcQ==