BODABODA WAZlBA BARABARA UBUNGO MATAA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,836
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro.
Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.
 
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro.
Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.

BodaBoda-thumb-500x280-13473.jpg



1310418841aaaaaaaa.jpg
 
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro.
Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.

Tatizo wenye magari kujidai wao ndo wenye haki ya kutumia barabara
 
wajifunze sheria za barabarani na kupata leseni halali enyi wamiliki wa bodaboda acheni kuwapa vijana bodaboda zenu mtu anajifunza siku 2 tu anaingia barabarani
Wamejaza pikipiki zao katikati ya makutano ya barabara za Mandela na Morogoro.
Trafiki amechanganyikiwa hajui cha kufanya, foleni ni ndefu sana.
 
ssasa wakitaaka wasigongwe na hao wanaozaliwa wataendesha nini??si lazima wapungue iili wengine waingie hao kuwaletea
gari yetu tu ile ya maji nakwambia wanaziacha pikipiki hizo alafu unazichukua zote unapeeleka FFU anaekuja kuchukua anapigwa]
baakora 6 anaondoka wala wasiwape adhabu kali...wao nani waigongwe amegongwa sumaye,msafara wa mama kikwete sembuse
wao chapa bakoraaaaaaaa
 
ssasa wakitaaka wasigongwe na hao wanaozaliwa wataendesha nini??si lazima wapungue iili wengine waingie hao kuwaletea<br />
gari yetu tu ile ya maji nakwambia wanaziacha pikipiki hizo alafu unazichukua zote unapeeleka FFU anaekuja kuchukua anapigwa]<br />
baakora 6 anaondoka wala wasiwape adhabu kali...wao nani waigongwe amegongwa sumaye,msafara wa mama kikwete sembuse <br />
wao chapa bakoraaaaaaaa
wauza mafuta wachache mmeshindwa kuwatia bakura mtaweza mabodaboda??
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Tatizo wenye magari kujidai wao ndo wenye haki ya kutumia barabara
Ningeshangaa kama usingesema hivi!!!
hahahahahaa!!!
tukutuku inapata shida sana hiyo!!
mizigo unayobeba ni 4 x 5 x 6!!
 
Kwani hakuna FFU siku hizi huko Tanzania. Au wamewekwa standby kwa ajili ya migomo ya wanafunzi?
 
Sifahamu mazingira ya huyo aliyegongwa yalikuwaje hapo Ubungo! Ila hao madereva wa Boda Boda hapo Ubungo hujifanya wao ni wajanja na wanajua sana timing ya taa au ishara za trafiki. Wakati fulani hata kama hawajaruhusiwa wao tayari wako ndani ya road. Iko siku niliwahi simama hapo nikakaa pembeni niangalie mchezo, yaani ni Mungu tu anawaponya pale. Ukitaka kuona sinema ya bure uondoe frustrations zako nenda pale uangalie jinsi watu wanavyocheza na maisha yao kwa vyombo vya moto! Dk 20 zitakutosha kupata cha kusimulia! Na kama ni abiria ni afadhali ushuke kwenye BodaBoda mpaka avuke hilo eneo. Wako rough sana na uzembe kwa kiwango cha juu sana. Nadhani kwa sasa wamechukua nafasi ya kwanza kwa kuwa madereva hovyo wakifuatiwa na Daladala ambao wamejihalalishia kwamba wao ndo wenye mamlaka ya kuendesha barabarani. Wengine mpaki magari yenu pembeni mpaka watimize hesabu ya tajiri!
 
Aisee hawa jamaa ni balaa! Juzi jumapili hapa Arusha hawa jamaa wa Boda Boda walimtia adabu mama mmoja kwa kumchomea Toyota Prado mpyaaa hata number hajaweka kisa mama huyo alimgonga mwenzao! Ukimgonga mmoja wao nawashauri bora upite juu ya kichwa chao speed 180 kuliko usisimame, hawana dini hawa wanaumoja kama Nyenyere!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom