Bodaboda wanakera sana

Bodaboda wanakera sana

Boda boda anakuangalia kwanza je huyu naweza kummudu kumpigia mi honi au kumwita?

Akiona hawez anakuacha.....

Hata ubungo wale wakatisha ticket uchwara...wanakuangalia kwanza

Wakikuona uko serious hawakusumbui

We unadhan y huwa wanasumbua sana wadada had kunyanganyana
 
Hivi bodaboda awawezi kufanya utaratibu wa foleni? Mimi naona hiyo itawalipa sana! Wajaribu waone.
Yaani wanakuwa wamepaki distance fulani nyuma. Mwenye zamu yake anakuwa mbele peke yake.
 
Sisi wenye 'neema za Allah' ndio tunapata tabu sana jamani.

Bodaboda kama mnanisikia, tunawaomba mtuache jamani.
BossLady naomba kazi ya kuwa mlinzi wako binafsi. Hao bodaboda hawatokuja wakusumbue tena! Nitawatembezea mkong'oto mwanzo mwisho!!!
 
Back
Top Bottom