Bodaboda wana siri nzito

acha kutisha
Sitishi ila nasema tu... Mfano labda tuchukulie hii kesi ya hilo eneo ipo polisi na wapo kwenye upelelezi, huoni kwamba jamaa ndio atakuwa hatua muhimu ya kusaidia upelelezi...

Hapo ni polisi wamekuwa wa kwanza kujua, vipi kama majangili ndio wawe wa kwanza kulifahamu hilo, kabla ya polisi... Hali itakuwa vipi kwa jamaa wa bodaboda na huyu aliyeandika hapa
 
😁😁😁😁😂😂😂🤣

Aiseee, dunia inaenda kasi sana.
 
....
 
Pia asilimia 90 ndio uwapa mimba wanafunzi kupitia lift
 
Ukitaka mchepsi au danga ugenini mjini au vijijini bodaboda ndie Google yako.
 
Ukitaka guest,hotel kulingana na bei yako bodaboda ndie Google yako
 
Uongo mwingi sana . Hicho kipato cha mtu wanachokifahamu labda ni chako. Hakuna mwanaume ambaye atahangaika kumuua boda boda eti ampe siri ya wapi anampeleka mkewe.ni jambo la kipuuzi .na boda boda anakubali kufa kuficha wapi anampeleka mke wa mtu? Very stupid
 
Ila Hawa jamaa kwenye suala la kusaidiana, mwenzao anapopatwa na tatizo huwa wanajitoa sana aisee.

Nakumbuka mwaka 2018. Nilipata ajali karibu na kituo kimoja cha boda boda aisee wale jamaa walinipa msaada ambao sikutarajia na hakuna mtu hata mmoja ambae alikua ananifahamu kati yao.

Heshima kwenu wakuu popote mlipo. (Madereva piki piki)✊✌
 
Wanaumoja haswaa
 
Hahahaha na akati ukiongea nae kiume atakumefea Siri fresh tuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…