Bodaboda wana siri nzito

Sasa wewe kama na wenyewe wapo humu si unampa mwenzio mambo yasio julikana ohooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muonye.Hana kifua.Atapotezwa.
 
Ni ujinga kuweka akili na maisha yako kwenye mwili wa mwenzako . Kama ni wa kugongwa atagongwa tu. Fanya kazi mjinga mleta thread.
 
Wengi tuu wanaona wake zao hawana hizo mambo ila wa wenzao ndo wana hizo mambo. Jirani yako anaona mkeo ndo mwenye hizo mambo na wewe unaona mke wa jirani ndo mwenye hizo mambo.
hahahah
 
huyo mama alikuwa si mzima kichwani..

umtishie nyau..eti useme kwa mumewe

anakugeuzia kibao kwa kukutega na binti yake..mzee hatakuamini na zaidi huna ushahidi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulifaidi sana... Uliwapiga wote kavukavu?
 
Boda boda wa dar ni wajinga sana kitendo chakumsimulia mtu kuwa umempeleka abiria sehem flani huo ni umama kwani kazi yake ni kumpeleka abiria anapo kwenda na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio boda boda wa Dar tu, ni boda wote nchini. Ukishamzoea na kuwa na viratiba vya kumuita Mara kwa Mara mnazoeana na unapata habari zote za mtaa/eneo husika. Wako vizuri kwenye kukusanya na kutafuta habari. Boda boda na wauza maduka haya ya mtaani sio watu poa! Anytime wanamwaga mchele tu ukishazoeana nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee.... We jamaa una hatari sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…