Bodaboda wa usiku wengi ni Walimu

Waalimu walipwe vizuri ili usiku watulie na familia zao pamoja na kupimzika na kujiandaa kwa siku ijayo la sivyo elimu yetu itaporomoka.
 
Tusiwacheke walimu jamani, tuwasaidie waongezewe mshiko na mazingira bora kazini.

Mimi nakumbuka enzi hizo nilikuwa nakula uwaka kwa boda ya teacher namplekea kifuta jasho.
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuendako mitaji itakua, watanunua daladala wanaacha kazi na ualimu inabaki kuwa kazi ya wamama

Kuna wengine wengi kutokana na masimango hivi sasa wanafungua glosary
kuna mmoja ana glossary yake mbona tukiiishiwaga tunakopa sio poa walimu wako poa
 
Ivi waalimu ndo wanalipwa hela ndogo zaidi eeh su sekta zingine znajiweka tu smart lkn hela hakuna
 
Jamani tuwaheshimu walimu.
Umenikumbusha jana nimekutana na mwalimu wangu wa primary kwenye mgahawa mmoja hapa karibu na Sky city mall.

Nimefurahisana tuliongea karibua masaa matatu katika storistori wakati tuna pata coffee capachino akaniambia we Nech, "jina la utoto shuleni" unajua mimi ndio nilikufundisha " a " ipokama kikombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah nilicheka sana.

Anyway, tuwaheshimu walimu, kama unamkumbuka mwalimuwako na Mungu amekujalia kipato kidogo please mtumie ka tip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…