Bodaboda Mpwapwa waandamana kwa Mkuu wa Wilaya kupinga unyanyasaji

naliwe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
409
985
Mabomu ya machozi yalilindima pale vijana wa boda boda walipochoka kunyanyaswa na jeshi la police na kuamua kua ndamana kwa mkuu wa wilaya kupata msaada kabla ya kufika getini police walitokea na kuwatawanya kwa mabomu ya machozi.

Hali si shwari, baada ya police kucopy usemi wa mpendwa rais hapa kazi na kuuweka kwenye utekelezaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom