GE2025 Bodaboda Mbinga: Tunadaiwa na Rais Samia

GE2025 Bodaboda Mbinga: Tunadaiwa na Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Kwani hivi vikundi huwa vinalipwa kuja kumsifia Samia au ni kwa matakwa yao binafsi wamependezwa n utendaji kazi wake maana utasikia bodaboda wanamkubali mama, Mama ntilie wanamkubali mama mara Fundi ujenzi nao wanamkubali mama

Kwa hali hii naona ni watu wa Daslam ndo wanawaza kuandamana ila wenzetu huko Mkoani wanamkubali mama tena anawadai

----------
Umoja wa maafisa usafirishaji maarufu Bodaboda Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wamesema kuwa kwa maboresho yaliyofanyika katika sekta hiyo ya usafirishaji wana deni la kumpa zawadi kubwa Dkt. Samia ya kumpigia kura za ndio kwa asilimia zote ili kufanya ashinde na aiongoze tena Tanzania kwa miaka mitano ijayo




Chanzo: ITV DIGITAL
 
Hata sisi jobless tunamuunga mkono mamaa mana ametusaidia kutuwekea njia za kuwa jobless 😎
 
Back
Top Bottom