ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Nilivyomuona tu huyo jambazi na mavazi yake nikajua hii futuhi inatengenezwaHamna bodaboda hapo. Boda havai dera, hijab wala sendo. Mavazi ya boda ni makoti, makofia, reflectors na mabuti.
WEwe ndo mwalimu wa kwanza Tanzania unae jitambuaNani kasema haya maandamano ni ya bodaboda!? Wao wakalale kabisa,hawajaalikwa, sheikh majini na yule mwandishi wa habari clouds waliouwa walikuwa bodaboda kwenye maandamano ya Mo29!?
Kingine CCM imezoea kuwalisha maneno watu, yaani ujinga wa CCM na chawa wao wanaulazimisha kwa taifa Zima.
Nakumbuka Kuna kibindi nadhani January 2024 ilileta tamuko ati walimu wamchangia fedha ya kuchukulia fomu ya urais Samuya,huu ulikuwa ujinga kabisa kuwahi kutokea
Wazo la watu kumi linafanywa kuwa wazo la walimu wote Tanganyika.
Hao sio bodaboda ni kikundi cha wahuni kimepangwaBodaboda wache kujipa umuhimu kwenye shughuli za watu
Kama JWTZ, USALAMA POLISI NA VIKOSI VINGINE VYENYE KUJIHUSISHA NA USALAMA WANANCHI, WALI TU SNICH, HAO BODA BODA NI KITU GANI AISEEE... Alafu wewe unajulikana kupitia avatar yako umesimamia maovuBakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
Wahuni wa samia wanajaribu kulinda ugali wao kwa kutengeneza video uchawa ππππBakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.
Yeye ndiye kuwahakikishia au wao ndio wamemhakikishia kutokutoka?Bakari Shingo, mbunge wa Ukonga kupitia ACT-Wazalendo, akizungumza na wanabodaboda katika kata ya Ukonga, amewahakikishia kuwa hawatashiriki maandamano Desemba 9, akisisitiza kuwa amani yetu ni mali ya taifa letu.