Ni kweli matenk ya mafuta yamelipuka na kuna malori yalikua kwenye foleni pale yard yameungua mengi tuu na watu wengi wamepoteza maisha hali sio nzuri kutokana na malori kugeuza na kukimbia ilikua ni vigumu kupata picha taharuki ilikua kubwa na milipuko ya matenk ya kuhifadhia mafuta
Congo Kubwa jamani ni Sehemu ipi ya Congo, maana Border zinazopita maroli mengi ni Goma na Ruzizi-East Congo , na Kasumbalesa-Katanga
Congo Kubwa jamani ni Sehemu ipi ya Congo, maana Border zinazopita maroli mengi ni Goma na Ruzizi-East Congo , na Kasumbalesa-Katanga
Ndugu,Wiski ipo Kasumbalesa Katanga
Kwa mliopo karibu na eneo hilo tupeni update zaidi