Boda boda!

kabeba idadi ya watu wote kwenye noah
 
Ngoma inogile hapo...sijui wanaenda gulioni Katerero au wanaenda church hao!!!
 
Halafu hakuna hata mmoja mwenye kofia la chuma kichwani, ni hatari sana
 
Umenikumbusha tangazo la kampun fulan ya simu wao wakitumia bas kubwa wapinzan wakitumid beetle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…