Boda boda ya bei cheeee inahitajika

Boda boda ya bei cheeee inahitajika

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
399
Reaction score
58
Habari zenu wakuuu naitaji bodaboda ya bei rahis kabisaa maana cna kitu mfukoni bajet yangu ni laki tano kama unayo ni pm tufanye biashara nipo dar asanteni sana
 
Bora wewe umejiripua bila kuona aibu.
Lakini nakushauri kwa bei hiyo usinunue,maana utauziwa Frame tupu.
Na mwisho wake ni kwa fundikila siku.
Ongeza bei angalua kidogo unaweza kupata kwa watu wenye zile zenye majina ya ajabu ajaba za mchina.
Lakini kwa laki tano utajutia kuweka pesa yako,na ukinunua kwa laki tano basi ujue wewe ndio lasthand,yaani ikitoka kwako inaenda kwenye vyuma chakavu
 
Halafu tambua kwamba siku hizi abiria wamekuwa wanachagua Pikipiki za kupanda,maana wengine wamechoka kuachwa njiani na vimeo.
 
Back
Top Bottom