Boda boda ya babu

Wakati zamani vijana walitumia muda mwingi ktk sanaa na ubunifu km huo, cku hizi wengi wanawaza bongofleva na bongo movies, wasichana ndo hamna kitu hata mdoli wa vitambaa hamna anayeweza kutengeneza wachina ndo wanatuletea kila kitu.
Ile dhana ya afrika kuwa soko ndo inajidhihirisha, vipaji vinauawa na tunaachwa kujishughulisha na mambo yasiyo na manufaa kwa Taifa na jamii.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…