SYRE BOY JOSEE
Member
- Sep 2, 2013
- 10
- 2
Hv on the way hawa madereva wa car kuwafanya kitoweo % kubwa ya madereva wa car wakiwa kwenye magari wakiona boda*2 yupo pembeni yake ana mbana xo mnaonaje kama wanaonewa hv au wenzang mnaonaje
huu uandishi mbaya sana hata nukta huweki!Hv on the way hawa madereva wa car kuwafanya kitoweo % kubwa ya madereva wa car wakiwa kwenye magari wakiona boda*2 yupo pembeni yake ana mbana xo mnaonaje kama wanaonewa hv au wenzang mnaonaje
Wanaume wanaotumia 'x' kumaanisha 's' katika maandishi yao nasikia wana tabia za kishoga,, nimesikia tuu sina uhakika.
Sasa we umejuaje mwandishi ni ana jinsi ya kiume?Wanaume wanaotumia 'x' kumaanisha 's' katika maandishi yao nasikia wana tabia za kishoga,, nimesikia tuu sina uhakika.
Wanaume wanaotumia 'x' kumaanisha 's' katika maandishi yao nasikia wana tabia za kishoga,, nimesikia tuu sina uhakika.
Naamini ni uelewa wangu tu, nimekosea nisameheni wadau wangu, ila nilikuwa namaana;
Hao madereva wetu wa magari kuwafanya wenzao kitoweo barabarani. Je? ni haki kwa vifo vina vyotokea. Asilimia kubwa ya waendesha magari huwabana wa bodaboda pindi akaapo pembeni yake.
to whoever it may concern..Sasa we umejuaje mwandishi ni ana jinsi ya kiume?
Wanaume wanaotumia 'x' kumaanisha 's' katika maandishi yao nasikia wana tabia za kishoga,, nimesikia tuu sina uhakika.
Hv on the way hawa madereva wa car kuwafanya kitoweo % kubwa ya madereva wa car wakiwa kwenye magari wakiona boda*2 yupo pembeni yake ana mbana xo mnaonaje kama wanaonewa hv au wenzang mnaonaje
Naamini ni uelewa wangu tu, nimekosea nisameheni wadau wangu, ila nilikuwa namaana;
Hao madereva wetu wa magari kuwafanya wenzao kitoweo barabarani. Je? ni haki kwa vifo vina vyotokea. Asilimia kubwa ya waendesha magari huwabana wa bodaboda pindi akaapo pembeni yake.
boda boda haiwezi kushindana na gari hakika, kwa hiyo ni busara kwa boda boda kufuata sheria za barabarani kwa kadri awezavyo ili mwenye gari awe m.------- kwa kiasi kikubwa kusababisha ajali.Naamini ni uelewa wangu tu, nimekosea nisameheni wadau wangu, ila nilikuwa namaana;